gadner g habash na mke wake

gadner g habash na mke wake

Status
Not open for further replies.
mm najiuliza hasa kunanini mbona jide kaandamwa sana??

Huyu asubuhi alianza ooh Jide katembea na Chidy Benz sa hivi kaja na hili cha kujiuliza JF kuna nini? Hadi watu wanalipwa kuja kupaka au kusafisha watu siku 3 hivi Radio super brandy ya mashoga inatumia mamluki wa kutosha wamejazana kule celelebrity forum wanaanzisha thread za kumponda Anaconda na kujijibu wenyewe
 
mvua kubwa kunyesha leo nyumbani lounge sijui itakuaje bora msiende jamani

Wewe si unasema tiketi za show ya FAtuma ziko sold out sa unaweweseka nini? Maaluni mkubwa au na we ni wale machoko wa XXL?
 
ivi aka ka shoga 2030 kana matatizo gani! Yaan kenyewe kazi yake kumchafua! Kwanza akajui kuandika vizuri maneno yake, niwazi ya kua wewe ni shoga

Utamjuaje mtu mwenye tabia za ushoga?
Utamuja tu pale anapoona hoja baala ya kujibu yeye anaongelea mambo ya kishoga akizani hoja inahusu mambo ushoga amabyo yeye yapo kichwani muda wote
 
utamjuaje mtu mwenye tabia za ushoga?
Utamuja tu pale anapoona hoja baala ya kujibu yeye anaongelea mambo ya kishoga akizani hoja inahusu mambo ushoga amabyo yeye yapo kichwani muda wote
sawa sawa mkuu mtu yoyote anayewaza mabaya ujue yeye ndo anafanya ukisikia mtu anasema yule mchawi ujue wanakuwa wote kuwanga ndo yaliyowakuta hawa wenzetu wenye dada ambaye ivi karibuni ataanza kusikiliza kesi ambayo itampoteza,na kama ana stress ndo zitaanza,hapa ni ukweli mtupu hakuna cha timu iliyotumwa wala nini yeye si anajifanya kuwakashfu watu wengine yeye akiitwa bibi kizee anayelazimisha ujana atakubali.na bado mpaka akimbie jiji!chezea wenye nazo wewe!
 
Acha ujinga wewe...sasa ishu ya kupata mtoto inahusikaje hapa....
 
Mbona hukuandika mwaka jana???
Fatuma hamisi wewe, tunakujua? Ushapona FISTULA????
 
majungu hayo,afu dojo na kaya albam yao ya kwanza taswira ilikuwa chni ya bongo records,hzo tabia zako waachie dada zako
 
Huyu jamaa amechangia sana kuuwa muziki wa kizazi kipya na wanamuziki kuwa masiki akisaidiana na mke wake ambaye bado hawajafanikiwa kupata mtoto.
Walianzisha kampuni iliyoitwa JAG ambayo ilikuwa ikijulikana. Kama jay dee and gadner kama unakumbuka waligungua na studio jag record.
Kupitia jag record waliwamiliki dudubaya huyu mpaka leo anahasira na kisasi na gadner na jaydee mauzo ya album ya mpenzi yote walitia kapuni yeye akiambulia milioni 1 tu
Mr blue baada ya kutoka wakamtia maneno akahama umeneja kutoka kwa g lover mpaka kwa gadner walichomfanya ni kile kile mpaka leo hana kitu
Mandojo na domokaya baada ya kufukuzwa na majani pia waliwadaka ile album ya nikupe nini walisimamia wao wamewanyonya sana wakaka wa watu
Kifupi pesa mbuzi zao zimetokana na kuzurumu watu ndio maana wanaenda kwa kusua huku mikosi haiwakauki na sasa full kulalamika ili wenye uwezo mdogo wa kufikiri na kujua mambo wawaonee huruma

Kumbe nawewe bwabwa
 
majungu hayo,afu dojo na kaya albam yao ya kwanza taswira ilikuwa chni ya bongo records,hzo tabia zako waachie dada zako

Muziki huujui wewe umeanza kufuatilia baada ya kusikia diamond ametoa single kwa taarifa album ya kwanza mandojo na domokaya nyimbo waliyo record bongo record ni moja tu ya nikupe nini baada ya hapo majani alivunja mkataba na nyimbo zilizobakia zote welirecord kwa mika mwamba chini ya usimamizi wa jag records hata kwenye kasha za album kulikuwa na mihuri ya jag record
 
sawa sawa mkuu mtu yoyote anayewaza mabaya ujue yeye ndo anafanya ukisikia mtu anasema yule mchawi ujue wanakuwa wote kuwanga ndo yaliyowakuta hawa wenzetu wenye dada ambaye ivi karibuni ataanza kusikiliza kesi ambayo itampoteza,na kama ana stress ndo zitaanza,hapa ni ukweli mtupu hakuna cha timu iliyotumwa wala nini yeye si anajifanya kuwakashfu watu wengine yeye akiitwa bibi kizee anayelazimisha ujana atakubali.na bado mpaka akimbie jiji!chezea wenye nazo wewe!

Jay dee kwa habari nilizozipata amezaliwa mwaka 1961 kuna mtu wa karibu ameniambia
 
MwanaFatuma tafuta jukwaa lingine hapa JF si mahala pa kuja na hoja dhaifu za vichochoroni.
 
Hata kama kazaliwa mwaka mmoja na mamaako mbona hatujawahi kumsikia au kumwona kwenye luninga mama ako akiimba?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom