Aisee, nyie ni watu wa ajabu ile mbaya! Badala ya kuwajia juu wanaowakashifu na kuwatetea hao akina Gardner, weye na mwenzako mnamjia juu na kumtolea povu aliyeongea jambo lisilo na madhara yoyote kwenye madai yenu!!!!! Kwani ni wangapi hapa JF wanatumia ID zaidi ya moja?! Was it the big issue for you "two" guys kutoa mapovu kiasi hicho? Ila hapo pa kumshawishi Heloo anipe namba yake, itakuwa umefanya jambo la maana sana maana bado sijaamini kabisa maelezo yake...lakini namba ya kwako sina haja nayo.Nitakupm sasa ivi na kukupa no zangu pia heloo nampata akikubari nikupe no zake upige hata wote tukutane live,mana naona unataka kupotosha jamii ina mana mada moja haiwezi fanana majibu izo sound zenu sijajua znalenga nini...mimi mwanaume sio heloo ambae ni mwanamke tuheshimiane kama yeye kakerwa na kusaidia mshambulie kwa ivyo si eti wamoja....nope!!
Last edited by a moderator: