Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

Aisee, nyie ni watu wa ajabu ile mbaya! Badala ya kuwajia juu wanaowakashifu na kuwatetea hao akina Gardner, weye na mwenzako mnamjia juu na kumtolea povu aliyeongea jambo lisilo na madhara yoyote kwenye madai yenu!!!!! Kwani ni wangapi hapa JF wanatumia ID zaidi ya moja?! Was it the big issue for you "two" guys kutoa mapovu kiasi hicho? Ila hapo pa kumshawishi Heloo anipe namba yake, itakuwa umefanya jambo la maana sana maana bado sijaamini kabisa maelezo yake...lakini namba ya kwako sina haja nayo.
 
Last edited by a moderator:

Aaah nimeongea na wahusika, wamesisitiza tena, hakuna kitu kama hicho ni utapeli tu, na ndio maana nikanyamaza, video ya historia ilifanywa November mwaka Jana, na hyo party waliyovaa nguo nyeupe ilikuwa ni preview party ya uo wimbo, hakuna nguo nyeupe kwenye video ya historia.
Ahsante.
 
ishu hapa je makubaliano yenu yalikuwa mtalipwa???
 
Warumi nakuheshimu ...ivi umeangalia kipindi cha leo cha jide EATV auunasema tu kujifurahisha...jiheshimu utaheshimiwa!
 
kimya cha hii habari ni kwamba bada ya kuona j5 ile watu wangeandamana wakawalipa japo si kile kiasi cha makabaliano ya awali.
pole kwa WARUMI mpenda kupotosha ukweli na SOON video itatoka sijui ataihama Jf KWA aibu au atabadilisha ID
SUBILINI MTAONA.
The guy is too dangerous to be with!
 
Kadaianeni uko mlikokutania acheni umbea wenu, jide mmeambiwa anaishi jamii forum? Mfuaten kimara au nyumbani lounge, dhiki tu zimewajaa kwan mlilazimishwa

We mbona ukiletaga shobo zako hapa za udaku hamna mtu anakushobokea??umeombwa ama shobo tu kufatilia ya watu, kaa kimya waache waongee Jamii forum sio ta mama ako.
Vunga kama vp
 
We mbona ukiletaga shobo zako hapa za udaku hamna mtu anakushobokea??umeombwa ama shobo tu kufatilia ya watu, kaa kimya waache waongee Jamii forum sio ta mama ako.
Vunga kama vp

Sio fresh bhna , uo Uzi umechacha zaman so sina comment kk
 
kaa kimya ukweli najua unao ila kwa kuwa we ni akina mwafulani ndo mana!sasa wasanii au wamiliki wapo wangapi mpaka atajwe na yeye mbona hajaja kukanusha mtafute dereva wao atakueleza tena anakaa kimara!kwa jina la saidi,nalo ilo bisha acha kuwanga mchana!
 
We mbona ukiletaga shobo zako hapa za udaku hamna mtu anakushobokea??umeombwa ama shobo tu kufatilia ya watu, kaa kimya waache waongee Jamii forum sio ta mama ako.
Vunga kama vp

SI NDO HAPO SASA yeye alete yote ya DUNIA HII WENZAKE WAKILETA ANAANZA kama vile ni lazima achangie kila uzi mbona wenzake kuna uzi zingine huwa tunafumba macho na bado tunaishi kwa amani...ukajipe presha na mambo huyajui kisa uanpitia UKOKO JIONI?
 
hello hichi ndicho unacho zungumzia? Hukulipwa hadi leo?
 
Last edited by a moderator:
Heloo inamaa hadi Leo bado?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…