Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Kadaianeni uko mlikokutania acheni umbea wenu, jide mmeambiwa anaishi jamii forum? Mfuaten kimara au nyumbani lounge, dhiki tu zimewajaa kwan mlilazimishwa
Tunaomba haki zetu,basi unajua ulitutumia kwenye VIDEO YAKO KWA SIKU MBILI MFULULIZO WENGINE MPAKA kuomba ruhusa kwenye vibarua vyetu ilimradi kuitikia MWITO NA HESHIMA KUBWA,SASA KUSINGEKUWA na malipo basi ingeelezwa mapema,Wababa wa FAMILIA KWENDA KUTUZUNGUSHA KWENYE ile COSTA yako eti kwenda hapa na pale kwa jili ya uchukuaji wa Tv,tena kwa kukoddi nguo kwa gharama zetu leo hii kuwe hakuna kitu ..
USIKU WA MANANE......WEWE!!! hatutaki kusikia sijui Gadnner kala pesaa au nini,lawama ni kwako JIde kwa nini USIHAKIKISHE malipo yetu kwanza? hayo ya sijui nani kafanya nini hayakuwa makubaliano,jumatatu tunataka haki yetu,..
basi wala hatuna mengine,,na mapaka kuja humu ni bada ya maneno mengi mabovu ya baadhi ya watu wako eti tutaanza kufahamika na mengineo...TAFADHALI TUNAOMBA HAKI ZETU JUMATATU NA SISI TUNA FAMILIA.
Tunaomba haki zetu,basi unajua ulitutumia kwenye VIDEO YAKO KWA SIKU MBILI MFULULIZO WENGINE MPAKA kuomba ruhusa kwenye vibarua vyetu ilimradi kuitikia MWITO NA HESHIMA KUBWA,SASA KUSINGEKUWA na malipo basi ingeelezwa mapema,Wababa wa FAMILIA KWENDA KUTUZUNGUSHA KWENYE ile COSTA yako eti kwenda hapa na pale kwa jili ya uchukuaji wa Tv,tena kwa kukoddi nguo kwa gharama zetu leo hii kuwe hakuna kitu ..
USIKU WA MANANE......WEWE!!! hatutaki kusikia sijui Gadnner kala pesaa au nini,lawama ni kwako JIde kwa nini USIHAKIKISHE malipo yetu kwanza? hayo ya sijui nani kafanya nini hayakuwa makubaliano,jumatatu tunataka haki yetu,..
basi wala hatuna mengine,,na mapaka kuja humu ni bada ya maneno mengi mabovu ya baadhi ya watu wako eti tutaanza kufahamika na mengineo...TAFADHALI TUNAOMBA HAKI ZETU JUMATATU NA SISI TUNA FAMILIA.
Mzee Es
Mtoto wa JK kwa opinion yangu ni wrong kwa sababu baba yake ni rais wa nchi. Hao wengine sina shida nao but when you become a president of a country kuna tofauti.
Mfano wa karibu na mzuri ni wa Mugabe alipomuweka mtoto wa dada yake kuwa kiongozi wa mpira kule Zimbabwe. Kuna mambo ambayo ukiwa rais wa nchi inabidi yasifanyike mojawapo ni hili na sababu yake kubwa ni nguvu alizonazo rais wa nchi kikatiba.
Makubwa tena haya , ukisikia kuchanganyikiwa ndio huku, jide Siku izi anakaa jamii forum?? Si mumfuate polis au muende pale nyumbani lounge, kwanza msitusumbue wakat mnaitana kwenye video ulikuja kusema humu? Acheni umbea wenu, njaa tu hata aibu hamuoni kuja kudai elfu mbili umu, mlipokutana mkapeana dili za kuuza nyago mrudi uko uko mkadaiane
ra!Hahaaahahaha ovyooooo
kukata mauno kakata mjo.ba wako na we mwenyewe usidandie tren kwa mbele mkuu,naona unafuatilia sana ishu isiyokuhusu au umependa tulivyozungushwa...nitajie kazi ingine ambayo unatakiwa udhurumu na kama ni ivyo kwa nini iyo video asingejirekodi mwenyewe akiwa peke yake akataka watu?toa upumbafu hapa..kubwa zima unashindwa kufanya kazi ya maana unakazi ya kukata kata viuno kwenye video
Ngoja nikusaidie we unayejifanyaunajua sana wakati hujui....unajua maana ya jamii forumu?ni kusema ukweli pasipo kumficha mtu pale anapokosea tena ikiwa mtu mwenyewe anafahamika..sasa kabisa alifuatwa kiustaarabu ila danadana zinakuwa nyingi kwa jeuri tu kwamba mtanifanya nini hayo ya polisi umeyasema wewe,na kuhusu eti kupeana dili au sijui nini hayo nayo si mahali pake na kwa taarifa yako ujumbe umeshamfikia na atatoa,waswahili bwana kazi ipo,we ndo jide mbona hata hapa Jf yupo?au unadhani Jf UPO MWENYEWE TU???Na ninavyojua kazi ni kutegemeana na si kuleta dharau,na ukidhani eti kulikuwa na kukata mauno utakuwa umekosea hakukuwa na kitu kama icho ilikuwa ni kama watu mnaokuwa kwenye part au kwenye move yoyote,....Jf ipo kuwaumbua watu wanaojifanya mungu watu..hata mseme nini angeona haina maana kwa nini alituita?si angebaki na mumewe na familia yake?,,,nimeposti hapa na kwake pia au na wengine wangejuaje kama wanatapeli watu sa na wengine sasa atleast wamejua?msilete dharau bwana kwa mapenzi yenu fake kwa jide,mimacho tu!!
Asee huu ujumbe si ungemtumia Jide kabisa huko huko au...? Anyway polen ka vipi
ULIKUWA HUJUI KAMA HAPA NIMAKUTANO JUNCTION?sasa wewe hapa umefuata nini si nndo inayoongoza kwa kuwa na wasomaji wengi...hapa tumewafumbua macho watu wakiitwa na jide eti kuna video yangu njooni muonekane tu tena mje mmevalia smart na kuna malipo wajue ni kwenda kuuza sura na si vinginevyo!Namba zake umepoteza? Au jf ndo palikuwa makutanano junction?
toa upumbafu hapa..kubwa zima unashindwa kufanya kazi ya maana unakazi ya kukata kata viuno kwenye video
Namba zake umepoteza? Au jf ndo palikuwa makutanano junction?
Kama umesoma kidogo hii naweza kuita HYPERBOLE -something sound much more impressive than it really is!! kwa iyo hapa nipo nalalamikia elfu mbili? sawa mama haina shida!...mshabikieni tu!ubaya unaanzaga ivi ivi.Mapovu yanakutokaa, hata hamuoni aibu kudai hivo vi elfu mbili hadharani, mlimfuata mkaongea naye akakataa kulipa hizo pesa? , kwani humu jamii forum ni kituo cha polisi kusema ma mods watamkamata atoe hizo pesa?? Acheni ushamba nyie, kwani makubaliano yenu mliyafanya humu jamii forum?? At least ungesema mmeongea naye na kakataa kutoa pesa , sasa wanaume mnakuwa waoga hvyo acheni unafiki..kama mna hasira sana nendeni polis
Nendeni pale nyumbani lounge mkapige kelele na kuandamana,
Aaaaaaaah I think this is for promo use only..
ULIKUWA HUJUI KAMA HAPA NIMAKUTANO JUNCTION?sasa wewe hapa umefuata nini si nndo inayoongoza kwa kuwa na wasomaji wengi...hapa tumewafumbua macho watu wakiitwa na jide eti kuna video yangu njooni muonekane tu tena mje mmevalia smart na kuna malipo wajue ni kwenda kuuza sura na si vinginevyo!
Kama umesoma kidogo hii naweza kuita HYPERBOLE -something sound much more impressive than it really is!! kwa iyo hapa nipo nalalamikia elfu mbili? sawa mama haina shida!...mshabikieni tu!ubaya unaanzaga ivi ivi.