Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

Kwa hiyo nimeshakuwa Dada tena? Kweli jide kakuvuruga, pole sana mkuu....

siku zote tunavyokutana humu na ninavyoona post zako the way unavyosound nilijua mdada lakini usikonde nishakupata sikuwa na maana mbaya kwani hapa jf kuna wadada na wakaka wote wanaleta michango tena mizuri.Na jina sometimes linaweza lisikutambulishe vyema,pole ila usinichukie.
 

Kwani jide unamdai shilingi ngapi? Naona anakuvuruga sana mkuu, hyo tu music video umeshachanganyikiwa, ingekuwa filamu sijui ingekuwaje..video ni nzuri sana ila sikujua kuwa hadi nguo uliazima
 
Kama umesoma kidogo hii naweza kuita HYPERBOLE -something sound much more impressive than it really is!! kwa iyo hapa nipo nalalamikia elfu mbili? sawa mama haina shida!...mshabikieni tu!ubaya unaanzaga ivi ivi.

mmefiki wapi na madai yenu
 
na mashati meupe?....hebu weka picha nione mlivyotupia!.....nenda kituo cha polise ostrby ukafkishe shauri lako!
 

Kumbe umeshajua kuwa mlikuwa kuuza sura sasa kelele za nn
 

Sielewi kwanini wadau wanakushambulia wakati ki haki ilitakiwa aandamwe JIDE ili ijulikane kama ni kweli au la ,wapi ule uthubutu wa JF kusimamia ukweli?
 
Mliendaje kufanya kazi bila makubaliano ya kisheria naamini ni kwl mlienda kuuza sura na ni uzembe mkubwa alafu mnakuja kulalama JF ukitegemea utapata hiyo pesa aaaarrrghh muwe makini next tym afu unasema mlienda kwa mapenzi ya kumsaidia dada yenu Jide na akili zenu kbs mnakodi nguo nyeupe muonekane kwny video kwl wauza sura.
 
Hii thread ungeifanya kua sms ukatuma kwny namba ambayo ilikupigia ili uende kwny video ungekua umefanya busara sana au nenda polisi kafungue kesi ya madai kuleta haya malalamiko umu ni udhaifu mkubwa.
 
Sielewi kwanini wadau wanakushambulia wakati ki haki ilitakiwa aandamwe JIDE ili ijulikane kama ni kweli au la ,wapi ule uthubutu wa JF kusimamia ukweli?

ukweli gani?kusimamia haki....umeambiwa hapa mahakama? ......yeye si anao mkataba wa kazi walizofanya na Komando, Aende pale sarenda darajan.....hapa anajichelewesha kupata haki yk tu!
 

Hii Kitu akiiona Gang Chomba atafurahi sana maana hampendi sana Jide... anaweza kujitolea kuwa wakili wenu amshikishe Adabu Jide
 

Aaaaaaaaaaahhhhhhh duh
 
Mimi nlijua wote w kishua full white bata batani kumbe wenzangu ila mtalipwa uckonde, kuuza sura mi najua n bure
 

kwann usimfuate mnapokutana siku zote au ndio kutaka kick kwa lazima
 
Jumlisha kukodi vazi la suti,tax,na kuzungushwa kwa siku mbili tena usiku,na ni kwa masaa 8.uliza kama unamkodi mtu hata ulaya ipo ila hutegemea na nchi na mapatano....
acha maneno, wengine hatukodi nguo, sema kiasi gani....? mko wa ngapi....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…