alisema mkasini either atarejea mawingu au ataenda sehemu nyingine
Sijui huwa nafanya bad timing, manake kila niki-tune hii radio nakumbana na mibolingo mfululizo, naamua ku-switch off!hyo E fm inakuja kwa kasi ikifanya coverage nchi nzima itaifunika ata mawingu
hyo E fm inakuja kwa kasi ikifanya coverage nchi nzima itaifunika ata mawingu
Sijui huwa nafanya bad timing, manake kila niki-tune hii radio nakumbana na mibolingo mfululizo, naamua ku-switch off!
mnh! Nitajitahidi cku moja ni-tune in mida ya saa 17:30 (muda ulioandika hii post)... lakini inawezekana mwenzangu unaya-love hayo mabolingo! Sema kuna siku niliwapa salute ya heshima... ilikuwa weekend fulani hivi... sie ambao tulikuwa machaali in mid-1990's, na ma-hip hop waliyokuwa wanashusha hiyo weekend... weee acha bwana... ilikuwa njema si kidogo... zilikuwa ni pini zilizoenda shule na zika-graduate, sio hizi zenu za siku hizi za akina TI na akina Lil Wayne... old school tunajionea full utani!Wako poa sana Nas daz mie ndio naisikiliza muda mwingi sana... na hapa nasikiliza radio yangu E fm... radio ya burudani ndani ya E Fm
Classic saana hawa Jamaa mi nawakubali sana,kwa E fm mawingu watangoja!
Baadae sana kuwafananisha na mawingu,hata Challinze hawajafika