Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo hii radio mwisho wake Dar! Hawana tofauti na times FM! Kelele nyingi mwisho wao Dar!
Tatizo hii radio mwisho wake Dar! Hawana tofauti na times FM! Kelele nyingi mwisho wao Dar!
nipeni frequency zake niende nayo sawa asbuhi ya leo
Tatizo hii radio mwisho wake Dar! Hawana tofauti na times FM! Kelele nyingi mwisho wao Dar!
Ni radio ya Lady Jaydee. Mungu aendelee kukufanikisha dada ili Ruge na Kusaga wajue wewe si wa kuchezea. Tunakuombea uanzushe na TV station kabisa.
Sijui huwa nafanya bad timing, manake kila niki-tune hii radio nakumbana na mibolingo mfululizo, naamua ku-switch off!
Siyo ya Jide... ingawaje ile watu kudhani ni ya Jide ilisaidia sana kui-promote!Ni radio ya Lady Jaydee. Mungu aendelee kukufanikisha dada ili Ruge na Kusaga wajue wewe si wa kuchezea. Tunakuombea uanzushe na TV station kabisa.
Hiyo radio promo kuuubwa ila hamna kitu.
Siyo ya Jide... ingawaje ile watu kudhani ni ya Jide ilisaidia sana kui-promote!