Gadner Habash, Mtangazaji mahiri asiye na maadili

Gadner Habash, Mtangazaji mahiri asiye na maadili

Mleta mada kwa tamaduni za kiafrika mtu akifariki usimseme vibaya muachie mungu akamchagulie adhabu ya kabiri lake hii inamsaidia marehemu pia huko aendako na kwaww pia uliopo duniani,hasa unaemsemea vibaya,chunga sn hii kitu mleta mada itakusaidia maishani mwako
 
We jamaa umeangalia huu uzi ni wa mwaka gani au umemshambulia tu mleta mada?
 
Mleta mada kwa tamaduni za kiafrika mtu akifariki usimseme vibaya muachie mungu akamchagulie adhabu ya kabiri lake hii inamsaidia marehemu pia huko aendako na kwaww pia uliopo duniani,hasa unaemsemea vibaya,chunga sn hii kitu mleta mada itakusaidia maishani mwako

Uzi uliandikwa mwaka 2017. Ni vema kwamba mleta mada ulimsema mhusika akiwa yuko hai ndio kwamba aone na achukue hatua stahiki akiona inafaa.

Sio vibaya kumkosoa na kumrekebisha mtu anapoonesha mwenendo usiofaa hasa akiwa bado yu hai.
 
Mleta mada kwa tamaduni za kiafrika mtu akifariki usimseme vibaya muachie mungu akamchagulie adhabu ya kabiri lake hii inamsaidia marehemu pia huko aendako na kwaww pia uliopo duniani,hasa unaemsemea vibaya,chunga sn hii kitu mleta mada itakusaidia maishani mwako
Mkuu utakua umekurupuka. Huu uzi ni wa 2017 ila kwa kua umeona tu jina la marehem ukarukia kutoa lawama.
Tujenge tabia ya kutafakari ama kutafiti japo kidogo kabla ya kusema.
 
Mleta mada kwa tamaduni za kiafrika mtu akifariki usimseme vibaya muachie mungu akamchagulie adhabu ya kabiri lake hii inamsaidia marehemu pia huko aendako na kwaww pia uliopo duniani,hasa unaemsemea vibaya,chunga sn hii kitu mleta mada itakusaidia maishani mwako
Kwamba Mungu anaweza kubadili maamuzi ya adhabu kulingana na marehemu kisemwa?
 
Sio siri mimi ni msikilizaji mkubwa na wa kudumu wa Clouds Fm na hususan vipindi vya Power Breakfast, Jahazi na kile cha michezo. Ni mshabiki pia wa watangazaji kama Masoud Kipanya, Ephraim Kibonde na Gadner Habash.

Nimekuwa nikipenda utangazaji wa Gadner kitambo sana toka enzi zile anatangaza bongo fleva pale Clouds mpaka anakuja kwenye Afrika Bambataa na hatimaye Jahazi hivi sasa. Vipo vingi vinavyonivutia kwa Gadner ikiwamo sauti yake, ufundi wa matumizi ya lugha na umahiri wa utangazaj na mahojiano. Ni mtu ambaye Sina wasiwasi na intelligence yake na navutiwa pia na umahiri alionao katika kujibu anapofanyiwa mahojiano.
Karibu Life After Life: Je, Wafu huwaita watu kifoni? Kuna walio hai huamua kuwafuata Wafu? Wapenzi mmoja akitangulia, mwenzake anafuata!
Wanabodi,

Jee Roho za Waliokufa Zinaweza Kuwaita Walio Hai?.
Jibu ni yes, ndio maana kwa baadhi ya mila, wamama wajawazito hawaruhusiwi kwenda makaburini, ili waliolala wasije wakaviita vichanga, na matokeo yake vikaitika na kupata still born.
Kwenye mahusiano kuna kitu kinaitwa Soul Mates, na hii ndio subject matter ya uzi wangu huu.

Hitimisho.
Kwa vile kwa sisi binadamu wote hapa duniani tuko safari tuu, kuelekea kwenye makao ya milele na maisha ya milele, tusiwalilie waliotangulia na kuhuzunika saana kwa kuwakosa, tuhuzunike kibinaadamu, kwa kulia kwa kiasi tuu, kisha maisha ni lazima yaendelee, bali pia tujiangalie sisi wenyewe, kwa nafsi zetu, jee tumejiandaa kuitika wito wakati siku yetu na saa yetu ikitakapofika?.

Kesheni mkiomba kwa maana hamjui siku wala saa.
RIP Ephraim Kibonde na Ruge Mutahaba na wengine wote waliotangulia, nyinyi mbele sisi tuko nyuma yenu, sote sisi ni wa Kwake na Kwake tutarejea.

Paskali
Marafiki waliotangulia, wanazidi kuitana...

View: https://youtube.com/shorts/KMVmvFPjui4?si=G28gCVGn1VUc-Jbr
Rip Garder G Habash

P
 
Back
Top Bottom