Yo Yo
JF-Expert Member
- May 31, 2008
- 11,210
- 1,720
kashori gani haka? walahi kudadadeki kanaonekana katamu sana....una namba yake ya mob?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kashori gani haka? walahi kudadadeki kanaonekana katamu sana....una namba yake ya mob?
kashori gani haka? Walahi kudadadeki kanaonekana katamu sana....una namba yake ya mob?
chapa ilale arifu......dec 1 kwenye makaratasi yao huko....kamua baba.....una namba yake ya mob?kaka tarehe moja leo ya desemba
chapa ilale arifu......dec 1 kwenye makaratasi yao huko....kamua baba.....una namba yake ya mob?
kashori gani haka? walahi kudadadeki kanaonekana katamu sana....una namba yake ya mob?
Mkuu unanitisha
1. Ukimwi upo leo tarehe gani?
2. Hivi unawezza kuoa mwanamke aliyepita clouds kweli?
3. Pia ni muhimu kuamjua/kuangalia mwanamke kuanzia mguuni hadi kichwani ww uso ndio umekudanganya
mbona wengi wameondoka pale na wanaendelea na maisha
sioni tatizo!
- ray c
- tid
- ongezea...
Katika matangazo ya jioni ya leo tarehe 1/11/ 2010 wametangaza rasmi kuwa Gardner amemaliza mkataba. Pia ephraim Kibonde anaondoka pia. Haraka haraka unaweza kuhisi nini msukumo? Ndio kumaliza mikataba,Au labda kutokana tna utatangazaji wa kishabiki ndo kwenda kulipwa fadhila na jeykey kama ma Dc wapya ktk serikali ya jeykey. Ebu subiri kidogo tuone!