Gado amchora magu! Aisee ni ataree..selo itamhusu hivi karibuni

Daaah imebidi nicheke huku ninasikitika, si jambo zuri uchoraji wa aina hii
 
Labda jamaa awe anaishi nje ya Tanzania maana uchoraji wa hivi utaweza kumuweka mahala pabaya.
 
dah!! ukiwa mtawala omba hekima sana,otherwise utaumiza wengi sana,mfano huyu ni kumsamehe bure tu
 
Hahah,huyu jamaa kuna kitu anakitafuta nadhan,mabwepasi kwa wale wanasoka patamuhusu siku moja.
 
Bahati yake anaishi Kenya, na anafanya kazi shirika la Ulaya
 
Kuna uzi kama huu, umeondolewa muda si mrefu. Naamini na huu hautakaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…