Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Mmoja anasindikizwa na wananchi mwingine anasindikizwa na askariElectoral college with a difference.
Hakuna cha Canaan hapo...wote ni wale wale ndugu yangu...Hope this wont happen....
RAILA tibim!!!
Concede defeat by lunch time on 8th enda Gatundu Tuelekee canaan bruhs
Sent using Jamii Forums mobile app
Masoud Kipanya na Said Michael wanaongoza kumchora Magu na hamfanyii chochote,!!!!!!!! Tena sio kumchora kwa kumsifia.Duh... Hehehehe!! Hivi Gado akachora mkulu wa Bongo akiwa huko Tanzania inakuaje.
Kha!! Kumchora Magu akiwa na kichwa kubwa na upara sidhani kama ni issue kubwa, naongea kuhusu mchoro kama huu wa leo. Masoud kama anaweza kuwa na ubavu wa kuchora kihivi.Masoud Kipanya na Said Michael wanaongoza kumchora Magu na hamfanyii chochote,!!!!!!!! Tena sio kumchora kwa kumsifia.
Haya ndo mnalalamika kila siku tukiongelea habari za tz humu, jambo la kenya lakini hadi uongelee tz, lol!
Kwa style hii hatuachi
Atafanywa kama mlivyomfanya mtaalamu wa ICT wa Tume ya uchaguziDuh... Hehehehe!! Hivi Gado akachora mkulu wa Bongo akiwa huko Tanzania inakuaje.
Unataka katuni inayozungumzia nini labda nikuletee!Kha!! Kumchora Magu akiwa na kichwa kubwa na upara sidhani kama ni issue kubwa, naongea kuhusu mchoro kama huu wa leo. Masoud kama anaweza kuwa na ubavu wa kuchora kihivi.
Halafu la kuiongelea Tanzania kwenye jukwa la Kenya, binafsi siku hizi silalamiki maana mlibadilisha jukwa la Kenya kuwa sehemu ya kupost taarifa zote za Tanzania, wengi wenu hata inabidi mje huku ili mpate nini kipya. Hivyo nimezoea na hutoskia nikilalamika.
Hehehe najua sababu ni kwamba Watanzania wengi mnaishi kimajungu majungu, hivyo ukipost chochote kizuri kuhusu Tanzania kwenye jukwa la habari za Tanzania, wengi wenu huwa mnaishia kuponda, hivyo ni nafuu ukizileta huku ili tuwasaidie kuzichambua.
Habari gani ya tz ulishawahi kuchambua? By the way kupost huku haimaanishi kuwa hao unaosema watapondana hawazioni, wanaziona na wanachangia pale inapobidiKha!! Kumchora Magu akiwa na kichwa kubwa na upara sidhani kama ni issue kubwa, naongea kuhusu mchoro kama huu wa leo. Masoud kama anaweza kuwa na ubavu wa kuchora kihivi.