Gado Has done it again

Gado Has done it again

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,481
Reaction score
2,347
388371eeb353c7d12241184d6d940816.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Electoral colleges is the best option for the countries marred with tribalism...
 
Raila will lose. Niliwahi sema GADO alikuwa baadhi ya advisors wa Tinga wengine wakanipinga.
 
Duh... Hehehehe!! Hivi Gado akachora mkulu wa Bongo akiwa huko Tanzania inakuaje.
 
Masoud Kipanya na Said Michael wanaongoza kumchora Magu na hamfanyii chochote,!!!!!!!! Tena sio kumchora kwa kumsifia.

Haya ndo mnalalamika kila siku tukiongelea habari za tz humu, jambo la kenya lakini hadi uongelee tz, lol!

Kwa style hii hatuachi
 
Kha!! Kumchora Magu akiwa na kichwa kubwa na upara sidhani kama ni issue kubwa, naongea kuhusu mchoro kama huu wa leo. Masoud kama anaweza kuwa na ubavu wa kuchora kihivi.

Halafu la kuiongelea Tanzania kwenye jukwa la Kenya, binafsi siku hizi silalamiki maana mlibadilisha jukwa la Kenya kuwa sehemu ya kupost taarifa zote za Tanzania, wengi wenu hata inabidi mje huku ili mpate nini kipya. Hivyo nimezoea na hutoskia nikilalamika.
Hehehe najua sababu ni kwamba Watanzania wengi mnaishi kimajungu majungu, hivyo ukipost chochote kizuri kuhusu Tanzania kwenye jukwa la habari za Tanzania, wengi wenu huwa mnaishia kuponda, hivyo ni nafuu ukizileta huku ili tuwasaidie kuzichambua.
 
Unataka katuni inayozungumzia nini labda nikuletee!

Wakati unafikiria wacha nianze na hii

f9e8aab58739456491cd84c8fe2f7cb4.jpg
 
Kha!! Kumchora Magu akiwa na kichwa kubwa na upara sidhani kama ni issue kubwa, naongea kuhusu mchoro kama huu wa leo. Masoud kama anaweza kuwa na ubavu wa kuchora kihivi.

Halafu la kuiongelea Tanzania kwenye jukwa la Kenya, binafsi siku hizi silalamiki maana mlibadilisha jukwa la Kenya kuwa sehemu ya kupost taarifa zote za Tanzania, wengi wenu hata inabidi mje huku ili mpate nini kipya. Hivyo nimezoea na hutoskia nikilalamika.
Hehehe najua sababu ni kwamba Watanzania wengi mnaishi kimajungu majungu, hivyo ukipost chochote kizuri kuhusu Tanzania kwenye jukwa la habari za Tanzania, wengi wenu huwa mnaishia kuponda, hivyo ni nafuu ukizileta huku ili tuwasaidie kuzichambua.
Habari gani ya tz ulishawahi kuchambua? By the way kupost huku haimaanishi kuwa hao unaosema watapondana hawazioni, wanaziona na wanachangia pale inapobidi
 
Back
Top Bottom