Hivi ni kwa nini usajili wa Yanga unawauma zaidi nyinyi mashabiki wa simba, kuliko sisi wenye timu yetu? Kwani shida iko wapi hasa!Awe na kiwango kilekile kisha aachand na soka la ulaya aje bongo, tena akiwa free agent? Unajua kuna vitu vingine tuwe tunajiuliza kwa akili zetu za kawaida tu.
Hoja yangu sio kung'aa, nadhani hujanielewa. Nazungumzia swala la yeye kuwa bado miaka 28, ilhali alicheza na akina Arteta. Maana yake anamzidi FEI TOTO miaka minne tu😊Mbona Meddie Kagere tangu mwaka 2000 anacheza ligi kuu! Na bado alipokuja simba aling'ara! Itashindikana vipi kwa huyo Bigirimana?
Wala usijali, waache tu waendelee kupiga kelele.Wenzetu yanga wanasajiri tunawaona ligi ikianza zile.kauli.zetu pendwa.za bahasha zitaanza
Hautuumi mkuu, ni kwamba tunajaribu kubalance story tu, maana hatuwezi kuvumilia tambo juu ya kitu ambacho kila kitu kinaonyesha kuwa ni cha kawaida kabisa (ameisha kiwango)Hivi ni kwa nini usajili wa Yanga unawauma zaidi nyinyi mashabiki wa simba, kuliko sisi wenye timu yetu? Kwani shida iko wapi hasa!
Si mnatakiwa kufurahia huu usajili wetu wa hovyo!
Mimi Nina akili za kawaida ndo maana sijasema ana kiwango kilekile Ila nimesema akiwa na Kiwango chake.Awe na kiwango kilekile kisha aachand na soka la ulaya aje bongo, tena akiwa free agent? Unajua kuna vitu vingine tuwe tunajiuliza kwa akili zetu za kawaida tu.
Mkumbuke tu msimu ujao hatutaki kusikia tena zile porojo zenu za GSM kuhonga timu pinzani!Hoja yangu sio kung'aa, nadhani hujanielewa. Nazungumzia swala la yeye kuwa bado miaka 28, ilhali alicheza na akina arteta. Maana yake anamzidi FEI TOTO miaka minne tu😊
Achana na swala la kagere ambalo kila mtu analijua na wala hakuna mwana Simba Sc anayejaribu kumpaka mafuta Mr Kagere kama nyinyi mnavyofanya sasa, kujaribu kuonyesha kwamba mmesajili a top player from Europe.
Hii inahusiana vipi na usajili wa Bigirimana, A top player at his prime aliyeamua kuachana na team za ulaya licha ya kuwa zinamhitaji, ili aje Tz?Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.
Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.
“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga
Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.Hii inahusiana vipi na usajili wa Bigirimana, A top player at his prime aliyeamua kuachana na team za ulaya licha ya kuwa zinamhitaji, ili aje Tz?
Na wengine wako busy kumshangilia Mpole na SopuWenzetu yanga wanasajiri tunawaona ligi ikianza zile.kauli.zetu pendwa.za bahasha zitaanza
Kwamba Bigirimana (top player) kutoka Burundi ambeye bado kwenye prime na anaehitajika na team nyingi za Ulaya anakuja kuitumikia YANGA sc, ni lazima tuchukue CAFCL mwaka huu.Mkumbuke tu msimu ujao hatutaki kusikia tena zile porojo zenu za GSM kuhonga timu pinzani!
Cha kushangaza na nyinyi wenyewe mlipokea hongo kwenye Ngao ya jamii na pia kwenye ile nusu fainali ya ASFC.
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.
Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.
“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga
Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampuni itakavyokuwa baada ya yanga kuingia mfumo wa kisasa, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampuni itakavokuwa baada ya yanga kuingia mfumo wa kisasa, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.Kwamba Bigirimana (top player) kutoka Burundi ambeye bado kwenye prime na anaehitajika na team nyingi za ulaya anakuja kuitumikia YANGA sc, ni lazima tuchukue CAFCL mwaka huu.
Nasubiri habari zake za uhamisho kwa Fabrizio hapa, najua ni lazima atajwe tu.
Lakini pia haihitaji akili kubwa kujua kuwa "akiwa kwenye kiwango chake" hawezi kuja kucheza Tanzania kutokea Ulaya.Mimi Nina akili za kawaida ndo maana sijasema ana kiwango kilekile Ila nimesema akiwa na Kiwango chake.
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.
Yule muhindi ni tapeli, hebu soma jinsi yanga watakavoipata thaman halisi ya Club yao na uwekezaji utakavo kuwa.
“Asilimia 49 zimegawanywa kwa watu wanne tofauti ambao watakuwa na uwiano wa asilimia 12 kutoka taasisi au watu tofauti tofauti ambao vyanzo vya mapato hawashabiani kimapato kutakuwa na kampuni maalumu itakayofanya kazi ya kujua thamani ya klabu na wataweka wazi hadharani na mwenye uwezo wa kununua hisa atapata nafasi hiyo bila upendeleo wowote” - Injinia Hersi kuhusu uwekezaji ndani ya Yanga
Sisi mbumbumbu rage hakukosea kutubatiza hili jina,, leo hii mo anaweza kuamua kisusa tu na uwekezaji wake hewa na tutakarudi matopeni
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.
Leo nimemsikiliza huyu mgombea wa yanga jinsi kampun itakavokuwa baad ya yanga kuingia mfumo wa kisasa,, kwa mfano pale simba Mo alijipangia bei nakumbuka alitoa mpaka muda simba waamue kama hawataki hizo pesa pesa bilion 20 anaweza kununua Bank.Lakini pia haihitaji akili kubwa kujua kuwa "akiwa kwenye kiwango chake" hawezi kuja kucheza Tz kutokea ulaya.
Kwani amechangia sh ngapi?umepigwa wapi?
Kwani ligi yetu Ina ubora wa ligi ya uingereza mpaka aje mchezaji mwenyewe ubora wa kugombaniwa na timu za ligi ya uingereza. Hao tulio nao katika ligi wangekuwa na nusu ya ubora huo tusingekuwa nao.Awe na kiwango kilekile kisha aachand na soka la ulaya aje bongo, tena akiwa free agent? Unajua kuna vitu vingine tuwe tunajiuliza kwa akili zetu za kawaida tu.