Kuzenza kamuli
Member
- Dec 17, 2019
- 19
- 41
Gael Bigirimana ni alikuwa Midfielder wa Glentoran na Midfielder wa Timu ya Taifa ya Burundi. Pia amewahi kuchezea EPL na Newcastle. Hii ni Surprise tu usajili mkubwa unakuja kwa Wananchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
28, ila kacheza na Arteta mwaka 2012.Ana umri gani?
Ina maana 2012 alikuwa alikuwa kinda la miaka 18 na arteta ni mstaafu sasa 😂28, ila kacheza na Arteta mwaka 2012.
Carrier yake yote ya mpira ana golu moja 😂Midfielder Ya Kabumbu [emoji91][emoji172][emoji169]
Mnaweweseka sanaIna maana 2012 alikuwa alikuwa kinda la miaka 18 na arteta ni mstaafu sasa [emoji23]
Ngoja tuone
Huyo kibabu chenu chenye goli moja tangu aanze kucheza mpira atusumbue sisi?Mnaweweseka sana
Kama CR7 alivyocheza na Arteta na leo bado yupo man u.28, ila kacheza na Arteta mwaka 2012.
Anakuja kufunikwa na Kyombo, hapo ndio mtajua hamjui, mpaka aizoee ligi yetu na ubovu wa pitch zetu msimu umeisha.
Zilishuka daraja huku yeye akifunika kwa assist na magoli, huyu ndie tumtakaye, sasa anakuja timu ambayo haijui kushuka daraja, inataka ubingwa, huku akilishwa na fundi Chama, kaa chini ujitafakari..Unajua kwmb timu zake alizochezea zote zimeshuka daraja..???
Mayele alizoeya ligi kwa muda gani?Anakuja kufunikwa na Kyombo, hapo ndio mtajua hamjui, mpaka aizoee ligi yetu na ubovu wa pitch zetu msimu umeisha.
Kazi Yake Sio Kufunga Huyo.Carrier yake yote ya mpira ana golu moja [emoji23]
Hana tofauti na yule kambare
Huyo Kufunga Sio Kazi Yake, Hayo Ni Mambo Ya Mchezaji Ambae Usajili Wake Leo Hii Umesimamisha Afrika Bw.Habibu Kyombo [emoji23]Mwamba ana goli moja tu *****..ila utopolo bana[emoji1787]
Aisee, naona dalili ya timu yangu kuja kushuka daraja!Unajua kwmb timu zake alizochezea zote zimeshuka daraja..???