Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Msimu ujao utaskia tunataka fair competition
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Mayele nae alitokea Newcastle?!Mayele alizoeya ligi kwa muda gani?
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Anakuja kufunikwa na Kyombo, hapo ndio mtajua hamjui, mpaka aizoee ligi yetu na ubovu wa pitch zetu msimu umeisha.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Mwamba ana goli moja tu *****..ila utopolo bana🤣
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Huyo kibabu chenu chenye goli moja tangu aanze kucheza mpira atusumbue sisi?
Poleni sana imekula kwenu
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Carrier yake yote ya mpira ana golu moja 😂
Hana tofauti na yule kambare
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.Ndo huyu? Mbona anaoneka mzee maisha ya ulaya mazuri inakuwaje awe kama anatokea burundi 😂
Inawezekana maana wakati huo alikuwa na miaka 18 tu.28, ila kacheza na Arteta mwaka 2012.
Ina maana 2012 alikuwa alikuwa kinda la miaka 18 na arteta ni mstaafu sasa 😂
Ngoja tuone
Ah!ni kudaka sio?Kazi Yake Sio Kufunga Huyo.
Ilo goli moja alifungaje kama sio kazi yate btw tangu 2019 hakuwa na timu hadi alipoonekana na hersiKazi Yake Sio Kufunga Huyo.
Mbona kawaida sana kwa waafrika kuficha umri wao halisiView attachment 2285699
2013 alikuwa na miaka 19 baada ya miaka 9 Leo hii 2022 ana miaka 28
Acha kujidanganya 1989 tuliwatakasa vizuri kwa bao mbili kwa moja hamkutusaidiaNyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
Haha kama mmemind hivi 🤣Kwani Mayele nae alitokea Newcastle?!
Uto vipi tena..!!
Mimi Sitaki Kueleza Sana, Tukutane Agosti 13 Pale Kwa Mkapa Na Wale Viungo Wako Akina Mzamiru [emoji23]Ilo goli moja alifungaje kama sio kazi yate btw tangu 2019 hakuwa na timu hadi alipoonekana na hersi
Ndio Ni Kipa Huyo.Ah!ni kudaka sio?
Msije mkamgombea kama Morison maaana naye mlisema hivyo hivyoMstaafu, akaangukia ktk kiwanda cha bia, nako kafukuzwa, ndo kaishia kuokotwa na Rais mpya wa mchongo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti. View attachment 2286154