Gael Bigirimana ni Surprise ya Rais Mpya wa Young Africans kwa Wanayanga

Anakuja kufunikwa na Kyombo, hapo ndio mtajua hamjui, mpaka aizoee ligi yetu na ubovu wa pitch zetu msimu umeisha.
 
Ndo huyu? Mbona anaoneka mzee maisha ya ulaya mazuri inakuwaje awe kama anatokea burundi šŸ˜‚
 

Attachments

  • 20220709_185727.jpg
    13.3 KB · Views: 5

Attachments

  • IMG_20220705_083819.jpg
    31.5 KB · Views: 6
Mwambieni pia kuna sokoine stadium, nyankumbu girls stadium bila kusahau ule uwanja wa polisi tz,huko kama ulitokea ulaya ndo utajua kumbe boli bado hujalijua.
 
Unajua kwmb timu zake alizochezea zote zimeshuka daraja..???
Zilishuka daraja huku yeye akifunika kwa assist na magoli, huyu ndie tumtakaye, sasa anakuja timu ambayo haijui kushuka daraja, inataka ubingwa, huku akilishwa na fundi Chama, kaa chini ujitafakari..
 
Ninachoamini mimi huyu kijana anakitu cha kuisaidia simba, tusubiri muda utaongea, kama Mamelody walimuona na wakamsajili japo hakucheza na Luis nae Mamelody walimsajili na hakucheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…