Gael Bigirimana ni Surprise ya Rais Mpya wa Young Africans kwa Wanayanga

Anakuja kufunikwa na Kyombo, hapo ndio mtajua hamjui, mpaka aizoee ligi yetu na ubovu wa pitch zetu msimu umeisha.
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Mwamba ana goli moja tu *****..ila utopolo bana🤣
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Huyo kibabu chenu chenye goli moja tangu aanze kucheza mpira atusumbue sisi?
Poleni sana imekula kwenu
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Carrier yake yote ya mpira ana golu moja 😂
Hana tofauti na yule kambare
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Ndo huyu? Mbona anaoneka mzee maisha ya ulaya mazuri inakuwaje awe kama anatokea burundi 😂
Nyie endeleeni kuchezea shilingi chooni, Kwa usajili mnao ufanya zipo Dalili za timu kushuka Daraja.
Sasa msitegemee Yanga awe anafanya kazi ya kuwabeba Ili msishuke Daraja kama Walivyo fanya 1989. Acheni siasa fanyeni usajili, msimu ujao ni mgumu kuliko huu ulio Isha.
Mtakuja kumlaumu Karia bila Sababu
 
Acha kujidanganya 1989 tuliwatakasa vizuri kwa bao mbili kwa moja hamkutusaidia
Wapi tumemlaumu karia we uto?
Kwanza zile timu zimelipwa mafao yao ya kuweka badge ya gsm kweny jezi zao?
 
Mstaafu, akaangukia ktk kiwanda cha bia, nako kafukuzwa, ndo kaishia kuokotwa na Rais mpya wa mchongo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…