Mash\AllahTakbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiirrrr!!!!!!!!
Lolote linaweza kutokeaaa😅🤣🤣🤣🤣Mabikra huko peponi kazi wanayo 😂
Kwanini Mkuu?Mabikra huko peponi kazi wanayo 😂
C unaona Israel anavyowapeleka huko peponi chap hvyKwanini Mkuu?
Vita ya sasa ni ya kisayansi sana mtu akikukamia hakukosiAmeangamizwa: Hassan Badir, anayejulikana pia kama Haj Rabia, mwanachama wa Hezbollah anayehusika na ushirikiano kati ya IRGC ya Iran na mashirika mengine ya kigaidi ya Palestina dhidi ya Israeli. Alilengwa katika shambulio la bomu huko Beirut asubuhi ya leo.
View attachment 3290383