Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Leo kulikuwa na shambulio la kisu la Gaidi la kiarabu alimchoma kisu Myahudi wa Israeli.
Mtu aliyechomwa kisu alikuwa Natanel Jacobs na hapa anaelezea jinsi alivyopigana na Gaidi Hilo baada ya kuchomwa kisu alipiga picha Gari la Gaidi huyo na kuwajulisha IDF ambao walilifuatilia gari hilo kwa Hellcopter
Baadaye IDF ilimpata Gaidi huyo na kumuua.