Gaidi aliyetumwa na Zelensky mikonononi mwa vijana wa Putin FSB

Gaidi aliyetumwa na Zelensky mikonononi mwa vijana wa Putin FSB

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827

Ukrainian man arrested for bomb plot – FSB​

An agent of Kiev’s special services sought to blow up power lines in Crimea, Russia’s security service has claimed

 
Adhabu yake inajulikana na atawataja anaoshirikiana nao upande wa RUSSIA.
 

Ukrainian man arrested for bomb plot – FSB​

An agent of Kiev’s special services sought to blow up power lines in Crimea, Russia’s security service has claimed
View attachment 2405113
View attachment 2405113

Wanao panga na kuratibu hujuma hizi ni kikosi muhalumu cha Uingereza SAS najua mbinu zao like back of my hand - mfano: jaribu kufatilia kwa karibu hujuma zilizo pita dhidi ya Urusi - kulipiliwa kwa mapomba ya gesi ya Nord1 and Nird2, kulipuliwa kwa sehemu ya daraja la KERCH na hapo walitumia roli, Urushaji wa Drone mwaka jana kujaribu kulipua makao makuu ya jengo la Naval Base ya Urusi bahati nzuri drone iliwahiwa haikuleta uharibifu mkubwa, ulipuzi wa ghala la silaha kwenye military base ya Urusi karibu na Crimea ingawa sina uhakila na hilo kama ilikuwa na accident au hujuma.

Juzi juzi tena hapa kikosi maalumu cha Uingereza wakishirikiana na Ukraine walijaribu kuhujumu Russian Naval fleet huko Sevaspol kwa kutumia drones zinazo ruka na drones zinazo pitia chini ya bahari(stealth submarine drones) bahati nzurif drones nyingi zilikuwa intercepted na Russian air defense systems na zile stealth submarine drones zilizo kuwa zinapitia chini ya bahari Helicopter gunship za Urusi zilifanikiwa kuzi-hunt down na kuzilipuwa zote hakuna iliyo penya kupitia chini ya Bahari, ni drones mbili tu zilizo pigwa partially lakini zikalipuka karibu na meli mbili lakini haziku sababisha uharibifu mkubwa only superficial.

Uingereza for some strange reasons inataka vita hii iwe kubwa zaidi na ikiwezekana zitumike hata silaha za Nuclear, Amerika hisipo mkemea mwingereza kwamba hasiendeleze njama zake za kumkasirisha zaidi Putin, Amerika hisipo chukuwa hatua ya kuikemea wizara ya ulinzi ya Uingereza basi vita hii inaweza kuingia kwenye phase mbaya sana ya kuweza kuiangamiza Dunia aidha by miscalculation au delibaretly- as I said USA admnistration should be ware of British calculating modus operandi - ni binadamu wenye jeuri na kujisikia, vile vile ni hatari sana na wafitini kuliko maelezo,kumbukeni stori za Uongo na kweli kuhusu Urusi na Putin kwamba Putin ana mpago wa kulipua nuclear bomb ndani ya black sea -yaani Putin alipue bomb kwenye back yard yake thereby killing his fellow Russians and rendering Black Sea waters into radio active and no go area-akili gani hizo!!

Waziri huyo wa Uingereza ambaye ni highly unpredictable alitaka kumzuga Biden na adithi za kutunga tu kuhusu mpango eti wa Putin kulipua nuclear bomb baharini, lengo kuu hasa la waziri huyo alitaka USA iogope na kuhamaki halafu ipige mabom ya nuclear Urusi baada ya kusikiliza adithi za kutunga tu kutoka kwa waziri wa ulizi wa Uingereza,bahati nzuri Biden alimshtukia na kumpuuzia, pamoja na mapungufu mengi ya Biden lakini safari hii katumia busara sana kutokumsililiza chizi huyo wa Uingereza.
 
Back
Top Bottom