Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Gaidi la kijerumani lenye mrengo wa neo-fascism limeshambulia shule moja nchini Urusi na kuua watu si chini ya 13 wakiwemo watoto 7. Waliojeruhiwa ni watu wazima 14 na watoto 7.
Gaidi hilo la kijerumani lenye umri wa miaka 25 limetiwa nguvuni na tayari limefunguliwa kesi.
Kwa mujibu wa Aljazeera, matukio ya kurusha/kurushiana/kupigana risasi mashuleni ni machache mno nchini Urusi.
=====