Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Anasoma shule gani?Putin amesalimika?
Alisikika mshauri wa mgambo wa Kijiji akiongea kwa jazba wkt anakata gogo.Alikuwa maeneo hayo akikimbia mashambulizi ya Ukraine
Sion mahali ambapo wameandika ni gaidi la kijerumaniGaidi la kijerumani lenye mrengo wa neo-fascism limeshambulia shule moja nchini Urusi na kuua watu si chini ya 13 wakiwemo watoto 7. Waliojeruhiwa ni watu wazima 14 na watoto 7.
Gaidi hilo la kijerumani lenye umri wa miaka 25 limetiwa nguvuni na tayari limefunguliwa kesi.
Kwa mujibu wa Aljazeera, matukio ya kurusha/kurushiana/kupigana risasi mashuleni ni machache mno nchini Urusi.
=====
View attachment 2368798
View attachment 2368800
Mtajijua wenyewe Warusi wa Kwamtogole, mtapigwa mpaka Kremlin ndaniGaidi la kijerumani lenye mrengo wa neo-fascism limeshambulia shule moja nchini Urusi na kuua watu si chini ya 13 wakiwemo watoto 7. Waliojeruhiwa ni watu wazima 14 na watoto 7.