Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Video zinazotoka Gaza zinaonyesha msafara wa mazishi ya kamanda wa tawi la kijeshi la Hamas Mohammed Odeh na wanafamilia wake kufuatia shambulio la Israel jana.
Odeh, ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa mkuu wa tawi la kijeshi la Hamas baada ya kuangamizwwa kwa Izz al-Din al-Haddad, alielezewa na IDF kama mmoja wa makamanda wakuu wa mwisho wa Hamas waliohusika katika kupanga na kuratibu mauaji ya Oct 07,2023
Video hii alone Bumunda zitto junior