Gaidi Mohammed Odeh na familia yake wakienda kuzikwa huko Gaza!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Video zinazotoka Gaza zinaonyesha msafara wa mazishi ya kamanda wa tawi la kijeshi la Hamas Mohammed Odeh na wanafamilia wake kufuatia shambulio la Israel jana.

Odeh, ambaye hivi karibuni aliteuliwa kuwa mkuu wa tawi la kijeshi la Hamas baada ya kuangamizwwa kwa Izz al-Din al-Haddad, alielezewa na IDF kama mmoja wa makamanda wakuu wa mwisho wa Hamas waliohusika katika kupanga na kuratibu mauaji ya Oct 07,2023

Video hii alone Bumunda zitto junior

Your browser is not able to display this video.
 
Kwa Umeridhia Hilo Wewe Na Familia Yako Pindi Mtakapong'ata Mbao,,,Tuwazike Kwenye Makebo Yako....??
Sawa Tutalifanyia Kazi Dogo....
​
Kwenye makalio yako itafaa zaidi!!
 
Nami Sijabisha Dogo,,,Na Tumeafikiana Vizuri,,Shaka Ondoa Hilo La Kwenye Kukuzika Kwenye Makebo Yako Ni Jambo Jema Na Itafaa Zaidi Mnoo.....
Usiniletee Ujinga na upumbavu wako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…