Gaidi Razeq al-Madhoun hatimaye aangamizwa huko Gaza!!

Gaidi Razeq al-Madhoun hatimaye aangamizwa huko Gaza!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Gaidi Razeq al-Madhoun hatimaye ameangamizwa katika mji wa Gaza alipokuwa akijificha miongoni mwa raia katika kitongoji chenye wakazi wengi.

Majeshi ya Israel kwa umahiri mkubwa yameweza kumwangamiza. Gaidi Razeq al-Madhoun alihusika moja kwa moja kwenye Ubakaji, Utekaji na mauaji ya Oct 07,2023.
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2025-05-02 at 21.45.54.mp4
    3.4 MB
Na Tanganyika watafika? Ama huku Tanganyika shwari mambo ya ugaidi hakuna.
 
He will be the distinguished guest of the 72 virgins in akhera.
 
Na Tanganyika watafika? Ama huku Tanganyika shwari mambo ya ugaidi hakuna.
Binafsi minatamani wafike ili watustue akili kidogo. Yani tunafanywa wajinga, nchi wanaila kakikundi kadogo.
 
Back
Top Bottom