Gairo: DC amtuhumu mwenyekiti wa CCM kuhongwa gari na mbunge Shabiby, mwenyewe akana asema amenunuliwa na Dkt. Mwigulu. Kesi iko Takukuru

Hiyo iko hivi... Watch at your own risk...
Your browser is not able to display this video.

Jr[emoji769]
 
Hii ishu nimpongeza sana mkuu wa wilaya, Shabiby astaafu, mwigulu ajisafishe hii ni aibu hasa kipengele cha dini! Mwenyekiti bye bye, Mtu pesa na siasa pesa mjiandae maumivu makali yaja
 
Yaani 'wachinjiliwe' mbali kwa TUHUMA tu?
 
Hii ishu nimpongeza sana mkuu wa wilaya, Shabiby astaafu, mwigulu ajisafishe hii ni aibu hasa kipengele cha dini! Mwenyekiti bye bye, Mtu pesa na siasa pesa mjiandae maumivu makali yaja
Huwez kumtoa shabiby gairo

Ova
 
Attachments

  • Vyeo.MP4
    4.3 MB
Kazi imeanza ccm oyeee
 
Verossa
gari yenyewe ni aina gan ukute ni passo watu roho zinawauma
ndiyo gari aliyopewa
lkn jua hivi viMiji km Gairo vinatawaliwa sana na majungu
naona ni makabila yanayozunguka eneo hilo
 
Nishawahi Kuingia kwenye 18 zke
Ila nlichomoka kwa kutumia ualwatan
Ila huko gairo ni shida
Haelewani na kila mtu

Ova
mm nawaogopa wa Nguu sana, km utaweza kuishi ukanda huu, uwe na roho ngumu
lazima utazushiwa mengi, hata ukitenda wema, hao wamekutana na kiboko yao huyohuyo Ahmedi Shabiby

km huna bundle usiifungue ni majungu tupu ndipo tuhuma zilipozidi, Madiwani Nchi nzima wanakopeshwa na CRDB na watakatwa kwenye mishahara yao (Posho ya Mwezi) miezi 60 na wala sio Posho ya vikao
sasa huyu Mama kimemuuma hata sijui ni nini maana wakishindwa watakatwa kiinua mgongo chao na CRDB
 
Verossa

ndiyo gari aliyopewa
lkn jua hivi viMiji km Gairo vinatawaliwa sana na majungu
naona ni makabila yanayozunguka eneo hilo
mkuu kweli makabila ya kimbea verosa tu tena inakunywa mafuta hiyo six cylinder roho mbaya hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…