KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Kwani Kigogo wa Twitter anasemaje juu ya hili?
Hahahaa amekaa kmya ukute yeye ndo alihonga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani Kigogo wa Twitter anasemaje juu ya hili?
Anaitwa Siriel MchembeBwashee jina la DC sikulisikia vizuri luningani!
Ase kweli. Nasikia kulikuwa na kikao cha madiwani na DC huyo. Madiwani walikuwa 'wakimlalamikia' mheshimiwa huyo mambo fulani, lakini ghafla DC akaanza na tuhuma dhidi ya mwenyekiti wa CCM wilaya. Halafu gari lenyewe limenunuliwa kwa Tsh. Milioni 4.I hate politics