Gairo: DC amtuhumu mwenyekiti wa CCM kuhongwa gari na mbunge Shabiby, mwenyewe akana asema amenunuliwa na Dkt. Mwigulu. Kesi iko Takukuru

I hate politics
Ase kweli. Nasikia kulikuwa na kikao cha madiwani na DC huyo. Madiwani walikuwa 'wakimlalamikia' mheshimiwa huyo mambo fulani, lakini ghafla DC akaanza na tuhuma dhidi ya mwenyekiti wa CCM wilaya. Halafu gari lenyewe limenunuliwa kwa Tsh. Milioni 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…