Galadudu kitambo hajaonekana jamvini

Mgugu

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2015
Posts
2,165
Reaction score
4,403
Wakuu huyu mtu ni mda mrefu sana amepotea hapa jamvini, nnamashaka wasiojulikana wasije kua tayari wamefanya yao.
Story za Gala kwa kiwango kikubwa zilikua zinanisaidia kupunguza stress zinazotokana na misukosuko ya hapa na pale.
Ila pia nnamashaka sana na huyu kiumbe anaejiita GuDume kama siye yeye basi atakua ni pacha wake maana mtiririko na mserereko wa nyuzi zake hapa kilingeni zina mfanano uliotukuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…