Galants kumtoa Monastry na Yanga kutopata bao kwa Mkapa kunaleta tafsiri gani?

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
1,484
Reaction score
2,852
Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha na Galants.

Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
 
Yanga wameingia kulinda goli zao mbili, imetosha kabisa kuwavusha kwenda nusu fainali. Hizi mechi za mtoano zinakua na approach tofauti sana na mechi za ligi au makundi.

Huku team inatafuta kufuzu kwenda next round, sio mboyoyo nyingine. Kwahiyo game dhidi ya Marumo, itakua na approach nyingine, maana Yanga wataanzia nyumbani.

Ila Yanga mafala tu, sisi makolo ndio tunajua mpira. Ndio maana tumekufa kiume!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Galants walicheza na Piramid na Galants kashinda Moja bila.
Yanga tunakwenda kucheza na Galants tushindwe wenyewe ila fainali inatuhusu.
Uliona jinsi gallants wanavyocheza,Sio timu ya kubeza
 
We kolo acha ukolo, Galants walicheza na Pyramid sio Monastir.
Then kwa Yanga hii hakuna wa kumuogopa.
 
Uliona jinsi gallants wanavyocheza,Sio timu ya kubeza
Hatua hii si ya kubeza Kwa timu yoyote ila Piramid ni waarabu wenye jeuri ya fedha. Ili ufanikiwe usipende kucheza na waarabu ilikidi ukutane nae Fainali.
 
Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha na Galants.

Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
Gallants ndio timu gani?
 
Galants walicheza na Piramid na Galants kashinda Moja bila.
Yanga tunakwenda kucheza na Galants tushindwe wenyewe ila fainali inatuhusu.
Yanga mna nafasi nzuri ya kusonga mbele.
Kila kheri.
 
Yanga wameingia kulinda goli zao mbili, imetosha kabisa kuwavusha kwenda nusu fainali. Hizi mechi za mtoano zinakua na approach tofauti sana na mechi za ligi au makundi.

Huku team inatafuta kufuzu kwenda next round, sio mboyoyo nyingine. Kwahiyo game dhidi ya Marumo, itakua na approach nyingine, maana Yanga wataanzia nyumbani.

Ila Yanga mafala tu, sisi makolo ndio tunajua mpira. Ndio maana tumekufa kiume!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Umemaliza
 
Back
Top Bottom