BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Uliona jinsi gallants wanavyocheza,Sio timu ya kubezaGalants walicheza na Piramid na Galants kashinda Moja bila.
Yanga tunakwenda kucheza na Galants tushindwe wenyewe ila fainali inatuhusu.
Hatua hii si ya kubeza Kwa timu yoyote ila Piramid ni waarabu wenye jeuri ya fedha. Ili ufanikiwe usipende kucheza na waarabu ilikidi ukutane nae Fainali.Uliona jinsi gallants wanavyocheza,Sio timu ya kubeza
Gallants ndio timu gani?Wananchi ni wazi tupo kinywani mwa Galants, vipi kutoboa kupo kweli au tusubiri kutimiza wajibu maana Rivers jinsi walivyocheza leo ni kama hawakuhitaji ushindi au ni timu ya kawaida ukilinganisha na Galants.
Muda ni Mwalimu mzuri ngoja tusubiri.
Yanga mna nafasi nzuri ya kusonga mbele.Galants walicheza na Piramid na Galants kashinda Moja bila.
Yanga tunakwenda kucheza na Galants tushindwe wenyewe ila fainali inatuhusu.
Marumo GalantsGallants ndio timu gani?
Utaijua sku ikitua kucheza na WananchiGallants ndio timu gani?
Asante kwa marekebishoMpira unaangalia wapi mwenzetu? Gallants kacheza na Pyramid na aliyemtoa Monastir ni Assec Mimosa
Yanga wameingia kulinda goli zao mbili, imetosha kabisa kuwavusha kwenda nusu fainali. Hizi mechi za mtoano zinakua na approach tofauti sana na mechi za ligi au makundi.
Huku team inatafuta kufuzu kwenda next round, sio mboyoyo nyingine. Kwahiyo game dhidi ya Marumo, itakua na approach nyingine, maana Yanga wataanzia nyumbani.
Ila Yanga mafala tu, sisi makolo ndio tunajua mpira. Ndio maana tumekufa kiume!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]