Galatasaray yaguswa Eboue, kumpatia ajira

Umefanya analysis nzuri.Hili ni jambo la kawaida katika maisha.Kabla halijatokea,hakuna aliyekuja kulifafanua hapa kama sehemu ya kutoa angalizo.
 
Hii kesi na mkewe ni lazima iangaliwe upya. Alichostahili mkewe ni 50% na siyo 100%.
Lazima atengemae kwanza,kichwa kikipoa,atapata washauri wa kisheria huko Uturuki halafu watamsimamia.Hopefully haki yake haitapotea kutoka kwa wale mbwa koko(samahani naomba nitumie neno hilo kuonesha kuguswa kwangu na dhuluma hii alifanyiwa Emanuel Eboue).
 
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji324] [emoji324] [emoji324]
 
Unahenyeka miaka yote halafu mali yako yote anachukua mzungu ambaye hakukusaidia chochote kile.

 
MwenyeziMungu amjaalie Eboue subira,hekima na busara hasa wakati huu anapopitia changamoto hizi za kimaisha.Amuongoze apate utulivu wa nafsi ili aweze kuipigania haki yake kwenye mahakama huru.
Pia, amuongoze aweze kuirudia Afrika yake na Ivory Coast.Amuongoze kuliona hili;
Go east or west...south or north... HOME IS THE BEST.
 
Pole Sana eboue, tatizo ushamba ulikuponza Kuoa mzungu. Ungeoa mwafrika mwanzako kutoka ivory coast leo bado ungekuwa unatusuwa
 
Hongera kwa uongozi wa Galatasaray kwa kuguswa na hili la Eboue. Tuwaombee Arsenal nao wamkumbuke huyu fullback right wao ambaye baadae walimtumia kama right wing kwa kumsaidia kumvusha na kumsitiri na fadhaa hii anayoipitia.
 
A White masai miafrika ni kama mi kunguru mieusi unakuta stress za kufilisika lilitaka kumpeleka mzungu wa watu kama lenyewe li mwinyi so ndio maana mkewe kabwaga manyanga
 
Tena brazil ndo wamezidi unamkumbuka Adriano? Jamaa kaendekeza pombe, kubet malaya mpira ukamshinda ulaya karudi kwao brazil kastaafu mpita mdogo tu miaka 30 na sasahivi ni teja tu mtaani unakula unga
Acha uongo huyu Kesi yake ni baadaya yababa yake mzazi kufariki kipindi hiko akiwa inter Milan ndio alipoaza kuchanganyikiwa kwa msiba wa baba yake
 
Akipata hiyo ajira, basi akumbuke nyumbani!
Awekeze nyumbani kwake haraka maana asipofanya hivyo akipata majanga tena sidhani kama kuna yeyote atakayemhurumia...
 
Hivi samatta kaanza kuwekeza kweli!?
Sijajua mkuu, kuna kipindi nilisikia kuna eneo anaplan kuliendeleza.Sikufuatilia plan ilikuwa ni nini.
Lakini kama ana washauri wazuri kuanzia kwenye timu, wake binafsi hata family friends anaweza kusimama vizuri.
 
Unahenyeka miaka yote halafu mali yako yote anachukua mzungu ambaye hakukusaidia chochote kile.
Wale jamaa ni watu wa kufanya nao kazi au urafiki kwa tahadhari kubwa. They are real animates.
 
Reactions: BAK
Pole Sana eboue, tatizo ushamba ulikuponza Kuoa mzungu. Ungeoa mwafrika mwanzako kutoka ivory coast leo bado ungekuwa unatusuwa
Siyo kweli...wapo waliooa waafrika na hawakufanya vizuri kama Rigobert Song...na wapo waliooa wazungu lakini wamefanya vizuri kama Kajumulo[emoji23]
 
A White masai miafrika ni kama mi kunguru mieusi unakuta stress za kufilisika lilitaka kumpeleka mzungu wa watu kama lenyewe li mwinyi so ndio maana mkewe kabwaga manyanga
Sure...kachomoka mdada wa watu.
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…