Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
And that's it...akina Samatta watapita njia tofauti na yeye kwa kuangalia vile alivyofail na hivyo kupita njia ya akina Etoo na Drogba ambao wametumia fursa vizuri.Lazima watu wachache watolewe muhanga na maisha ili wengine wajifunze!!