ziguamwera
Member
- Jun 2, 2016
- 7
- 3
Kama kweli umekwazwa Ishauri simba au yanga wampe NafasiWazung huwa wanatafuta nafasi ya kutukomoa.they are opportunists,ni wwatu wabaya sana walee wakija huku wanajidai wanachekacheka tunawaona watu,mimi hawa watu siwapendi kabisa basi tu.wao ndio wanaovuruga nchi za watu hawatulii kwao hiki ndio chazo cha mizozo.watu wakienda huko wanaacha wamatumbi wenzao wnangalia kyuma nyeupe.
It's his second chance... This time hapotezi...hata kibubu ataweka.Akipata hiyo ajira, basi akumbuke nyumbani!
Awekeze nyumbani kwake haraka maana asipofanya hivyo akipata majanga tena sidhani kama kuna yeyote atakayemhurumia...
Sure kabisa...It's his second chance... This time hapotezi...hata kibubu ataweka.
Anahitaji counselors kwa ajili ya kumjenga isije akafidia muda alioyumba kwa hasira.
Du aisee,so sad!Tena brazil ndo wamezidi unamkumbuka Adriano? Jamaa kaendekeza pombe, kubet malaya mpira ukamshinda ulaya karudi kwao brazil kastaafu mpita mdogo tu miaka 30 na sasahivi ni teja tu mtaani unakula unga
Kuna mchezaji mmoja wa nigeriaalikuwa anatuma pesa sna wao nyumbani wawekeze wanazifujaSie waafrika aliyeturoga sijui ni nani!?
Huyu huenda hata nyumba hakuwahi jenga huko kwao zaidi wanaishia kula maisha na wazungu tu
Pole yake
sababu ya kipuuzi sana hii driano aliendekeza anasa huyo babaake ndio alikuwa anamlisha?.....Acha uongo huyu Kesi yake ni baadaya yababa yake mzazi kufariki kipindi hiko akiwa inter Milan ndio alipoaza kuchanganyikiwa kwa msiba wa baba yake
Lakini mimi nimejifunzaLakini bado watu hawajifunzi
Kuna wengine wanajifunza kutokana na makosa Yao.Lakini mimi nimejifunza
Fuatilia na Ibra nae akirisababu ya kipuuzi sana hii driano aliendekeza anasa huyo babaake ndio alikuwa anamlisha?.....