Galatasaray yaguswa Eboue, kumpatia ajira

Galatasaray yaguswa Eboue, kumpatia ajira

Wazung huwa wanatafuta nafasi ya kutukomoa.they are opportunists,ni wwatu wabaya sana walee wakija huku wanajidai wanachekacheka tunawaona watu,mimi hawa watu siwapendi kabisa basi tu.wao ndio wanaovuruga nchi za watu hawatulii kwao hiki ndio chazo cha mizozo.watu wakienda huko wanaacha wamatumbi wenzao wnangalia kyuma nyeupe.
Kama kweli umekwazwa Ishauri simba au yanga wampe Nafasi
 
Akipata hiyo ajira, basi akumbuke nyumbani!
Awekeze nyumbani kwake haraka maana asipofanya hivyo akipata majanga tena sidhani kama kuna yeyote atakayemhurumia...
It's his second chance... This time hapotezi...hata kibubu ataweka.
Anahitaji counselors kwa ajili ya kumjenga isije akafidia muda alioyumba kwa hasira.
 
Hata akina Eto'o wanapaswa kumsaidia mwenzao.Kama walikuwa na tofauti,wasahau hilo na wamuinue baadae watamwambia ukweli.
Tuchukulie wale Waafrika wote wanaoendelea kucheza soka la kulipwa Ulaya na Asia wakisema kila mtu atoe angalau 15% ya mshahara wake wa wiki wakamuandalia kitu kama nyumba and the like, wanaweza kuwa wamemboost sana.
Nawaza kwa sauti.
 
Emmanuel Eboue

Alikua mfalme pale Arsenal, anaukimbilia mpira kama hataki, ataanza kutembea nao kama hana mpango wa kusogea mbele, kisha anatoa pasi. Atakatwa, atanyoosha mkono, refa atamkatalia halafu yeye atatabasamu kisha ananyanyuka anaendelea na zake

Kuna kipindi nilikua naiangalia Arsenal halafu nafurahia na kumuangalia Eboue, nikawa naamini chini ya wenger anatengenezwa jamaa mmoja atakua mkali sana.

Kisha kama mwenzie Song na Adebayor wakatuacha njiani.

Huyu jamaa ana kipaji sijui alikosea wapi, ila kila timu mtu kama Eboue ana nafasi.
 
Tena brazil ndo wamezidi unamkumbuka Adriano? Jamaa kaendekeza pombe, kubet malaya mpira ukamshinda ulaya karudi kwao brazil kastaafu mpita mdogo tu miaka 30 na sasahivi ni teja tu mtaani unakula unga
Du aisee,so sad!
 
Alianza Adam akaanguka ajili ya Mwanamke..

Samsoni alianguka ajili ya Mwanamke..

Umsolopagaas ni uso wa mwanamke mzuri ndio ulio muangusha..

Tunakumbushwa kwenye Vitabu vya Dini .

Hawa wanawake tuliopewa tuishi nao kwa tahadhali.
 
Nahisi yalikuwa maamuzi yanayohusiana na ubaguzi wa rangi.Ina maana eboue hakuwa na shea kwenye mali zote? sidhani.
pole sana eboue
 
Inawezekana alikuwa anapewa hadi 0713! Yaani mali zote unaandika jina mwanamke! Wakati wazungu kudai talaka ni ishu ndogo tu, sawa na kutoa ushuzi. Kweli mapenzi upofu.Pole kaka.
 
Sie waafrika aliyeturoga sijui ni nani!?

Huyu huenda hata nyumba hakuwahi jenga huko kwao zaidi wanaishia kula maisha na wazungu tu

Pole yake
Kuna mchezaji mmoja wa nigeriaalikuwa anatuma pesa sna wao nyumbani wawekeze wanazifuja
 
Mwanamke mbaya ni mbaya tu
Wapo wazungu wazuri
Pia africa wanawake wenye roho mbaya pia wapo
Sema huyo jamaa alimkabidhi mkewe kila kitu kwa maandishi.

Mimi nitarudi nitarudi bongo na Mu Lao.
Namtoa samaki majini anakosa nguvu [emoji4][emoji4][emoji4]
 
nilisoma story yake inatia huruma Sana,hata watoto wake Hana mawasiliano nao analala seblen,anafua nguo mwenyewe Hana mashine kifupi Ana maisha mabaya,jamaa alimuamin Sana mwanamke alikua anasign document ya hela nyingi bila kuhoji mida mwingine analetewa asign document akiwa mazoezi.Jamaa anaishi kwa kujificha akiwahofia polis.Thanks kwa timu iliyomsaidia mana jamaa Yuko vibaya.Sijue Eric djembadjemba nae Ana hali gan Na mwenzie babayaro
pitia hii link kwa more infohttp://sunnewsonline.com/broke-and-suicidal-ex-arsenal-star-emmanuel-eboue-laments-fall-from-grace/
 
Unfair decision ya court angepewa atleast 50-50 coz mali ni zake lkn Eboe kazngua kinoma kutowekeza kwao ni ujinga na ushamba na uprimitive wake kwa shobo ya white mbunye akabweteka das lesson for us african
 
Galatasaray wamefanya jambo zuri na la kupongezwa. Elewa kwamba Ebou hawezi tena kucheza mpira kiwanjani kwa kuwa vipimo vinaonyesha damu yake ni "chafu". Mtu mwenye damu chafu hawezi kuruhusiwa kucheza mpira wa kiprofessional. Kazi ya ukocha itamsaidia kujikimu kimaisha baada ya kufilisika.
 
Back
Top Bottom