Afadhali huyu Eboue....ukimuona Erick Djemba Djemba utalia.Sie waafrika aliyeturoga sijui ni nani!?
Huyu huenda hata nyumba hakuwahi jenga huko kwao zaidi wanaishia kula maisha na wazungu tu
Pole yake
Hakuna kosa linalo mtaka mume ampatie mke mali zote, kosa hilo halipo..Hii kesi na mkewe ni lazima iangaliwe upya. Alichostahili mkewe ni 50% na siyo 100%.
Safi sana!Galatasaray yaguswa na matatizo ya Emanuel Eboue. Yaamua kumpa kazi ya ukocha wa vijana wa chini ya miaka 14 ili kupata kipato cha kujikimu kutokana na hali ya kufirisika baada ya kutalakiana na mke wake wa kizungu Aurille.
Mkufunzi wa Galatasaray Fatih Terim amenukuliwa na vyombo vya habari vya Uturuki akizungumzia mpango huo wa kumuokoa Eboue kwa njia ya kumpa ajira ya ukocha.
Pia gwiji mwingine aliyepata kukipiga na Eboue katika klabu hiyo ya Galatasaray Hassan Sas ameahidi kumsaidia kifedha Eboue.
View attachment 658906
Eboue baada kuamua kuachana nakewe huyo wa kizungu mahakaka iliamua mali zote apewe mwanamke.
Kwa bahati mbaya Eboue hakuwekeza kitu chochote nchini kwao ivory coast
Wazungu wana matatizo mkuu lakini wenye matatizo ya akili ni sisi wenyewe,kwenda kujichanganya na hawa nguruwe wakufuga.Nilimpenda sana Elhajj Diouf alikuwa hawataki wamsogelee.Eboue ni naswara mwenzao wamemfanyia hivi washenzi wakubwa.Kuhusu simba kuishauri nadhani una mjua mshauri wao.Ni Hajji Manara awashauri yeye.Kama kweli umekwazwa Ishauri simba au yanga wampe Nafasi
Mmmmh....ninachojua hadi jana alikuwa anawakwepa kusaini hati ya mahakama kwa ajili ya kukabidhi nyumba pekee aliyobakiwa nayo.Mwanamke mbaya ni mbaya tu
Wapo wazungu wazuri
Pia africa wanawake wenye roho mbaya pia wapo
Sema huyo jamaa alimkabidhi mkewe kila kitu kwa maandishi.
Mimi nitarudi nitarudi bongo na Mu Lao.
Namtoa samaki majini anakosa nguvu [emoji4][emoji4][emoji4]
Thabeet hasheem vp?Hivi samatta kaanza kuwekeza kweli!?
Unafikiria mbali Sana mkuu, big upAnacho pitia ndio maana halisi ya Maisha.
Mali karibia zote aliandikisha jina la mkeweHii kesi na mkewe ni lazima iangaliwe upya. Alichostahili mkewe ni 50% na siyo 100%.
Au huko alikokuwa alikua Hana haki ya kumiliki ardhi huenda labda ndicho kilichopelekea kuandika majina ya mke wake.Mali karibia zote aliandikisha jina la mkewe
Hilo ndio tatizo
Ana pesa bhana Adriano hajafulia sema alihusishwa na drug cartels ,ila ni mtu wa bata sanaTena brazil ndo wamezidi unamkumbuka Adriano? Jamaa kaendekeza pombe, kubet malaya mpira ukamshinda ulaya karudi kwao brazil kastaafu mpita mdogo tu miaka 30 na sasahivi ni teja tu mtaani unakula unga
wanao wanawake wa kizungu ili wapate uraia pacha, kuondoa vikwazo vya ajira ulaya.Sijapata kuona mtu mjinga kama huyu ... ndio wakome kuoa wanawake wa kizungu na kusahau kwenu
Utakuwa hufuatilii siasa wewe, au una ugomvi na Eboue.