Galatasaray yaguswa Eboue, kumpatia ajira

Galatasaray yaguswa Eboue, kumpatia ajira

Sie waafrika aliyeturoga sijui ni nani!?

Huyu huenda hata nyumba hakuwahi jenga huko kwao zaidi wanaishia kula maisha na wazungu tu

Pole yake
Afadhali huyu Eboue....ukimuona Erick Djemba Djemba utalia.
 
Galatasaray yaguswa na matatizo ya Emanuel Eboue. Yaamua kumpa kazi ya ukocha wa vijana wa chini ya miaka 14 ili kupata kipato cha kujikimu kutokana na hali ya kufirisika baada ya kutalakiana na mke wake wa kizungu Aurille.
Mkufunzi wa Galatasaray Fatih Terim amenukuliwa na vyombo vya habari vya Uturuki akizungumzia mpango huo wa kumuokoa Eboue kwa njia ya kumpa ajira ya ukocha.
Pia gwiji mwingine aliyepata kukipiga na Eboue katika klabu hiyo ya Galatasaray Hassan Sas ameahidi kumsaidia kifedha Eboue.
View attachment 658906

Eboue baada kuamua kuachana nakewe huyo wa kizungu mahakaka iliamua mali zote apewe mwanamke.
Kwa bahati mbaya Eboue hakuwekeza kitu chochote nchini kwao ivory coast
Safi sana!
 
Mapenzi bana, tunaanza vizuri baadaye inakuwa shiiidddaaa...
DR4C5hJW4AAz9Oq.jpg
 
Kama kweli umekwazwa Ishauri simba au yanga wampe Nafasi
Wazungu wana matatizo mkuu lakini wenye matatizo ya akili ni sisi wenyewe,kwenda kujichanganya na hawa nguruwe wakufuga.Nilimpenda sana Elhajj Diouf alikuwa hawataki wamsogelee.Eboue ni naswara mwenzao wamemfanyia hivi washenzi wakubwa.Kuhusu simba kuishauri nadhani una mjua mshauri wao.Ni Hajji Manara awashauri yeye.
 
Haya mambo ya kuandika bila source yanaboa sana. Watu wanajifanya wana taarifa za kutosha kumbe mengine yanakuwa matango pori.
 
Mwanamke mbaya ni mbaya tu
Wapo wazungu wazuri
Pia africa wanawake wenye roho mbaya pia wapo
Sema huyo jamaa alimkabidhi mkewe kila kitu kwa maandishi.

Mimi nitarudi nitarudi bongo na Mu Lao.
Namtoa samaki majini anakosa nguvu [emoji4][emoji4][emoji4]
Mmmmh....ninachojua hadi jana alikuwa anawakwepa kusaini hati ya mahakama kwa ajili ya kukabidhi nyumba pekee aliyobakiwa nayo.
Eboue ameanza kufilisika then issue ya mkewe kuclaim haki yake ikafuata.
 
Wanawake sio wa kuwaamini, na ndiomaana hawakupewa nafasi ya uongozi ktk Ufalme wa Mungu.
 
Hii kesi na mkewe ni lazima iangaliwe upya. Alichostahili mkewe ni 50% na siyo 100%.
Mali karibia zote aliandikisha jina la mkewe

Hilo ndio tatizo na alimuachia mke wake a-control mali na account za benki

Ni mpumbavu tu haki yake
 
Mali Zote Kapokonywa Mpaka Saa na Simu Ya Mkononi kaambiwa Akabizi Kwa Mwanamke Kwani Navyo Ni Sehemu ya Mali....

Kapigwa Ban asiwaone Watoto Wake...

Kama Naiyona Safari Ya Kurudi Kwao Africa inamuhusu hivi!!!!

Hii Ndiyo Faida Ya Kuowa Mzungu na Kujifanya Waafrika Wenzio Hawakuhusu.
 
Tena brazil ndo wamezidi unamkumbuka Adriano? Jamaa kaendekeza pombe, kubet malaya mpira ukamshinda ulaya karudi kwao brazil kastaafu mpita mdogo tu miaka 30 na sasahivi ni teja tu mtaani unakula unga
Ana pesa bhana Adriano hajafulia sema alihusishwa na drug cartels ,ila ni mtu wa bata sana
 
Sijapata kuona mtu mjinga kama huyu ... ndio wakome kuoa wanawake wa kizungu na kusahau kwenu
wanao wanawake wa kizungu ili wapate uraia pacha, kuondoa vikwazo vya ajira ulaya.
 
Mwache akome, wamama wa kizungu siyo wa utani utani. Na wengine mjifunze.
 
Mapenzi bhana yakiwa matamu wala usikilizi mtu
26000958_306906133135385_3693874456256302641_n.jpeg
 
Mwache akome! Ndiyo faida ya kuoa mzungu! Alisahau kuwekeza nyumbani Afrika badala yake akawekeza kwa mzungu! Aliwekeza ukweni! Hakuwa na mpango wa kurudi nyumbani! Sasa ukitaka kujua wazungu wanatuthamini vipi, ulizia mshahara atakaokuwa akilipwa na garatasaray kama kocha wa watoto! Maana wamempa kama fadhila tu si kwamba wanamhitaji!
 
Back
Top Bottom