mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Huyu mchezaji inabidi apimwe akili kama si mkojo!Mali karibia zote aliandikisha jina la mkewe
Hilo ndio tatizo na alimuachia mke wake a-control mali na account za benki
Ni mpumbavu tu haki yake
Hapo si mapenzi Bali utaahira! Inabidi waalimu wa biology wawaelimishe watu kuwa huko "chini" hakuna tofauti ya mzungu na mwafrika! Naona waafrika wakioa wazungu wanaona kama wake zao wana ziada Fulani kwa ajili ya uzungu wao wakati huko chini kuko sawa na wabongo tu!Mapenzi bhana yakiwa matamu wala usikilizi mtu
View attachment 659798
Alikuwa anaogopa kuibiwa na ndugu zake!Mkuu usimlaumu sana huwezi jua kwanini hakuwekeza kwao
"Asante Tanzania nchi yangu nakupaenda sana.Umenipatia mke mzuri hapa hapa Tanzania".
Uko sahihi saana mkuuMkuu usimlaumu sana huwezi jua kwanini hakuwekeza kwao
Drogba , arsenal , team mate etc pound 1000 kila mtu inatoshaHata akina Eto'o wanapaswa kumsaidia mwenzao.Kama walikuwa na tofauti,wasahau hilo na wamuinue baadae watamwambia ukweli.
Tuchukulie wale Waafrika wote wanaoendelea kucheza soka la kulipwa Ulaya na Asia wakisema kila mtu atoe angalau 15% ya mshahara wake wa wiki wakamuandalia kitu kama nyumba and the like, wanaweza kuwa wamemboost sana.
Nawaza kwa sauti.
Ndio maana cristiano ronaldo hataki kuoaMuache Uone Kama Nayeye Hajakufilisi
Tofauti watoto wao wanakuwa colouredHapo si mapenzi Bali utaahira! Inabidi waalimu wa biology wawaelimishe watu kuwa huko "chini" hakuna tofauti ya mzungu na mwafrika! Naona waafrika wakioa wazungu wanaona kama wake zao wana ziada Fulani kwa ajili ya uzungu wao wakati huko chini kuko sawa na wabongo tu!
Siku hizi wanasema wanakuwa "tinted".Tofauti watoto wao wanakuwa coloured
Sijapata kuona mtu mjinga kama huyu ... ndio wakome kuoa wanawake wa kizungu na kusahau kwenu