mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Huyu mchezaji inabidi apimwe akili kama si mkojo!Mali karibia zote aliandikisha jina la mkewe
Hilo ndio tatizo na alimuachia mke wake a-control mali na account za benki
Ni mpumbavu tu haki yake