Hukumkuta kanyamaUlikua pale miaka gani.
Mimi 2005-2007. Nliwakuta kina mnyilu, mbuzi,etc
Class ya kina Silvester Cross Vara.
Mama kanyama alifarik unajua lakinMsocha,kinala,msombwa,kika,masawe,mgalawe,mbogo,mama kanyama aisee ni galaxy hasa.
Aisee, nilikuwa sijuiMama kanyama alifarik unajua lakin
Sent from my SM-J320FN using JamiiForums mobile app
Aisee, nilikuwa sijui
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Juzi kati nimeenda nimemkuta msocha yuko vilevile[emoji23] [emoji23] full mawengeWazee Wa nguvu Mali mpooooo? Mimi ni miongoni mwa watanzania waliowah kupata bahati ya kusoma kwenye hyo shule.
Nasema bahati kwasababu ya upekee wake katika taaluma , mandhari madarasa n.k
Tuliowahi kusoma hapo tukumbushane mawili matatu kuhusu shule yeti!
Tukumbushane machache ya Msocha,Kinana, McMaster, Mwakasaka ,and the rest.
" Galanos school penda watoto , twakupenda ,twakusifu, tangu zamaaani shule yetu ilikua motomoto.........,"
Kumbe wewe pia umesoma galanosMmh kafariki alihamishiwa secondary moj inaitwa kihere ipo sahare kafa kam kitu kama 2013 2014
Sent from my SM-J320FN using JamiiForums mobile app
Kube namba two pale nilikaa nikiwa mgeni zile harufu za toi watu wasipomwaga maji zilinichosha.Bwenini Chai Cube no 2.
Opposite na choo , balaa.
Bado nakumbuka mchakamchaka kuelekea kange / saruj huku tukiongozwa na Kinana na baadae Msocha.
Nyimbo: Msocha pita ,pitaaa eh pita....Mnyilu yupo nyuma pita ukap....
Wazembee wamelala wazembe wamelala.
Watanga mnatutega hyohyooo, watanga mnatutega hyohyooo.
Hahhahaa noma saanaJamani toto , toto toto tumeliona, guu , guu , t*k , t*k , domo domo la kula d*nda. hahahahahah micng galanos
Hapana mkuuKumbe wewe pia umesoma galanos