sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
Hata Mimi juzi tuu nimemkuta msocha kanikumbusha mbali saana.Juzi kati nimeenda nimemkuta msocha yuko vilevile[emoji23] [emoji23] full mawenge
Kuna kipindi alinunua kapikipiki sasa akawa hawez kuendesha vizuri.
Akiwa anapita huku nyuma tunamcheka hawez kugeuka Bado Lena.
Alipokuja kuimaster fresh tulimkoma.
Cc Daby