Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Umenivunja sana Mbavu, huyu Mzee alinisumbua sana, kuna siku nilimkimbia ila aliniona akanieka kiporo, asa Pared kwenye ukaguz akawa anantafutia kosa bahat nzuri nkawa kila kitu nipo sawa kasoro sox nmevaa zote nyeus ila aina tofauti....... Mzee akapata kosa kwanza stiki, na azabu juu nikachomoa azabu......!
 
Daaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Na Fireextingisha Mkabeba.....
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nyie watu Hatari sana....!
 
Wazee hivi ule msambwanda wa Amina muuza maandazi uliwaacha salama kweli?kuna wadau walikua wanaponea pale dah

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hahahhaa mkuu Hawa wa namba 16 sio wale walikuwa wanajiita kisosora cube???

Daby au ilikuwa Ni Dom gani
Kisosora cube ya kina mustinho, jaguar, Gerard, zahoro miaka ya 2009-2011 dah kampani yangu hiyo asee

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Ntakuchek pm. Utamkumbuka dogo alikuwa anaimba na kuigiza saaana. Ni miongoni mwa watu walikuwa karibu saana na Msechu
Msechu mtaalam alitufundisha wimbo wa graduation ya dini Ukwata Form6 huyu jamaa

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Na Fireextingisha Mkabeba.....
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nyie watu Hatari sana....!
Fire extinguisher zilibebwa usiku baada ya Kumaliza mitihani ya Form6 mwaka 2011...nakumbuka nilikua zangu town na washkaji tunakata ulabu pale LA casa tukapigiwa Simu kuna wizi hakuna MTU kutoka wala kuingia dah walitujambisha lakini hatukurudi shule had kesho yake

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Nani anamkumbuga mwl.Mwakafwaga alikua ticha wa mkonge 2007

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Walikuwa wanafuata washkaji au

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Galax noma sana.
Msocha alishawahi kunipa adhabu ya kuchimba ule mbuyu kuke karibu na msikiti.

Yule jamaa kama mwehu yani, afu yupo serious utadhani ni adhabu ambayo inawezekana. Kakomaa kabisa na katoa muda sa siku tatu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh ulinusurika mnoo. Ngoko na chikota walidakwa
Mimi nilikuwa kwenye vigodoro huko uswazi hwakupita
Chikota alimkana markmaster kuwa hamfamu wakati ni kiongozi wa bweni la pamba
 
Paka Leo sijui kama kitendawili kiliteguliwa juu ya sababu za duka kuungua.

Kipindi kile watu walikuwa na tension kubwa saana ya kutaka kwenda kula xmass kwao
Kilishateguka mkuu , sema ndo hivo kamanda . Maana wadau walikua wamechafukwa na rohooo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…