Mike dee
Senior Member
- Oct 18, 2016
- 104
- 91
[emoji2][emoji2][emoji2] kutambo Sana hao watuhaya majina yaliniacha hoi .... MUSA DUNIA... MANDIA ....MANG'ANA MANG'ANA..... KUZENZA....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2] kutambo Sana hao watuhaya majina yaliniacha hoi .... MUSA DUNIA... MANDIA ....MANG'ANA MANG'ANA..... KUZENZA....
Nakumbuka mama Mgina alikuwa akifika assemble lazima awaite wakina Musa DuniaMusa Dunia notorious....
Vijana wa Mama mgina.
Siku hizi Sembe ndo headmaster pale GalaxSembe alinikuta na simu akanionea huruma akaniacha
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Ni FlorianHp yupi huyo mbona nimemsahau yule aliyefukuzwa au?
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Umenivunja sana Mbavu, huyu Mzee alinisumbua sana, kuna siku nilimkimbia ila aliniona akanieka kiporo, asa Pared kwenye ukaguz akawa anantafutia kosa bahat nzuri nkawa kila kitu nipo sawa kasoro sox nmevaa zote nyeus ila aina tofauti....... Mzee akapata kosa kwanza stiki, na azabu juu nikachomoa azabu......!Huyu mzee hazeeki. Bado naskia yupo pale pale.
Kuna kipindi alikuwa mbabe saana kwa wanafunzi sasa wanafunzi wakawa wanamzingua mwalimu mwenyewe alifeli form four halafu anatusumbua.
Akaja assemble akasema mimi msocha nimesoma pcm yaan printing, computer and michezo [emoji23][emoji23]
Mara Ya Mwisho nilimwona Moshi na Gwanda zake......!Panjab sijui Yuko wapi tu jamaa
Na Fireextingisha Mkabeba.....Daaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Kisosora cube ya kina mustinho, jaguar, Gerard, zahoro miaka ya 2009-2011 dah kampani yangu hiyo aseeHahahhaa mkuu Hawa wa namba 16 sio wale walikuwa wanajiita kisosora cube???
Daby au ilikuwa Ni Dom gani
Msechu mtaalam alitufundisha wimbo wa graduation ya dini Ukwata Form6 huyu jamaaNtakuchek pm. Utamkumbuka dogo alikuwa anaimba na kuigiza saaana. Ni miongoni mwa watu walikuwa karibu saana na Msechu
Fire extinguisher zilibebwa usiku baada ya Kumaliza mitihani ya Form6 mwaka 2011...nakumbuka nilikua zangu town na washkaji tunakata ulabu pale LA casa tukapigiwa Simu kuna wizi hakuna MTU kutoka wala kuingia dah walitujambisha lakini hatukurudi shule had kesho yakeNa Fireextingisha Mkabeba.....
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Nyie watu Hatari sana....!
Galax noma sana.Walikuwa wanafuata washkaji au
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Alikua anaitwa anwali, chalii mweupe ici alikua anakaa nguvumali....Umenikumbusha yule jamaa muuza duka alikuwa rafiki yangu kinoma ila jina lake nimesahau
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Chikota alimkana markmaster kuwa hamfamu wakati ni kiongozi wa bweni la pamba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh ulinusurika mnoo. Ngoko na chikota walidakwa
Mimi nilikuwa kwenye vigodoro huko uswazi hwakupita
Charles ara kwao ilikua wapi vile...Mi nlikuwa kumi na nane hiyo na marehem charls Arra, don Dunia
Hahhhahhha kipara boy, anamaneno kinyamaHahahaha,kumbe unakumbuka kiongozi alikuwa Fredrick mhalafu goolkeepr
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Kilishateguka mkuu , sema ndo hivo kamanda . Maana wadau walikua wamechafukwa na rohooo...Paka Leo sijui kama kitendawili kiliteguliwa juu ya sababu za duka kuungua.
Kipindi kile watu walikuwa na tension kubwa saana ya kutaka kwenda kula xmass kwao
Icho kichwa mang'ana ni shida kakahaya majina yaliniacha hoi .... MUSA DUNIA... MANDIA ....MANG'ANA MANG'ANA..... KUZENZA....