Jina linakuja halafu linapotea...Aisee unawakumbuka walimu balaaaa
Huyo jinyevu daaahhh alikuwa anatema yai saana alikuwa msafi Fulani amepinda.
Kuna Yule jamaa tulikuwa tunamwita fatuma unamkumbuka????
Panjabi alikuwa msumbufu sanaNyie mliosoma na o level pale mlikuwa wasumbufu balaa mkiongozwa na Panjab
yule jamaa alikuwa msumbufu kweliPanjabi alikuwa msumbufu sana
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Punjab .... huyu jamaa alihamia darasa lao walikuwa wasumbufu saana.Nyie mliosoma na o level pale mlikuwa wasumbufu balaa mkiongozwa na Panjab
Naunga mkono hoja,watakuja wengi tuJina linakuja halafu linapotea...
Itabidi tuwaombe mod watubadilishie Title ya uzi iwe Galanos secondary school Alumni special thread.
Cc dume30
Yuko moshi analinda RaiaPunjab .... huyu jamaa alihamia darasa lao walikuwa wasumbufu saana.
Wagalatia wengi saana humu tena wengi ndiyo wenye ID zinazojulikana sijui kwanini. Sitaki kuwataja maana sio vizuriNaunga mkono hoja,watakuja wengi tu
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Mimi nimeliona hili sijui hata ni kwanini tumejazana humu.Wagalatia wengi saana humu tena wengi ndiyo wenye ID zinazojulikana sijui kwanini. Sitaki kuwataja maana sio vizuri
Haha kuna namnaMimi nimeliona hili sijui hata ni kwanini tumejazana humu.
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
We Daby subiri watakuja tu maana najua wengi watakumbuka Yale maishaWagalatia wengi saana humu tena wengi ndiyo wenye ID zinazojulikana sijui kwanini. Sitaki kuwataja maana sio vizuri
Msocha,kinala,msombwa,kika,masawe,mgalawe,mbogo,mama kanyama aisee ni galaxy hasa.
Uharo [emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125]Sondi aka faza uharo umemsahau...
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Ugomvi wangu na Mwlm Mshana ni shamba tu.Wa zamani saana ni msocha na mshana mzee wa matuta.
Galanos ni shule nzuri saana. Mazingira yake mazuri. Mama prof Ndalichako alikuwa mwalimu hapo arudishe heshima yake.
Aseeh mzee anapenda shamba balaa. Usipimwangilia majina yanaenda kwa msocha sasa huo mziki wa msocha daah.Ugomvi wangu na Mwlm Mshana ni shamba tu.
Nilimchukia sana huyu mwlm
Punjab wa Muheza hahahahhah huyu dogo nimeishi nae pale Cube moja Kahawa no. 16Punjab .... huyu jamaa alihamia darasa lao walikuwa wasumbufu saana.
Mkuu hilo Ni jambo jema. Fanya kuwqcheki mods waweke Uzi sawa.Jina linakuja halafu linapotea...
Itabidi tuwaombe mod watubadilishie Title ya uzi iwe Galanos secondary school Alumni special thread.
Cc dume30
Sijui labda wanaogopa ushushushuWagalatia wengi saana humu tena wengi ndiyo wenye ID zinazojulikana sijui kwanini. Sitaki kuwataja maana sio vizuri
Mimi nimeliona hili sijui hata ni kwanini tumejazana humu.
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Anayetakiwa aombe ni muanzisha uzi. Nimemtag ngoja ajeSijui labda wanaogopa ushushushu
Mkuu hilo Ni jambo jema. Fanya kuwqcheki mods waweke Uzi sawa.
Yule jamaa ambaye tulikuwa tunamwita fatuma alikuwa anafundisha chemistry na math.
Kama ulimaliza mbele yangu huwezi kumjua ,but wewe daby tulimaliza wote
Mkuu sitosahau pale tunaelekea kwa mkuu wa mkoa kilichotukuta dah!!
Dah nilikuja kusikia story za huo mgomo wenuIla McMaster hawezi sahau mwaka wetu 2013 maana ule mgomo ulimuharibia kazi hadi hakuja siku ya graduu
Frank Mboya alikuwa anaitwaDah nilikuja kusikia story za huo mgomo wenu
Ilikuwa ni kwere saana. Ila class yenu ilikuwa na jamaa mmoja mrefu saana. Anacheza basketball saana.