Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Aisee unawakumbuka walimu balaaaa

Huyo jinyevu daaahhh alikuwa anatema yai saana alikuwa msafi Fulani amepinda.

Kuna Yule jamaa tulikuwa tunamwita fatuma unamkumbuka????
Jina linakuja halafu linapotea...

Itabidi tuwaombe mod watubadilishie Title ya uzi iwe Galanos secondary school Alumni special thread.

Cc dume30
 
Wagalatia wengi saana humu tena wengi ndiyo wenye ID zinazojulikana sijui kwanini. Sitaki kuwataja maana sio vizuri
Mimi nimeliona hili sijui hata ni kwanini tumejazana humu.

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Wa zamani saana ni msocha na mshana mzee wa matuta.

Galanos ni shule nzuri saana. Mazingira yake mazuri. Mama prof Ndalichako alikuwa mwalimu hapo arudishe heshima yake.
Ugomvi wangu na Mwlm Mshana ni shamba tu.

Nilimchukia sana huyu mwlm
 
Ugomvi wangu na Mwlm Mshana ni shamba tu.

Nilimchukia sana huyu mwlm
Aseeh mzee anapenda shamba balaa. Usipimwangilia majina yanaenda kwa msocha sasa huo mziki wa msocha daah.

mkuu JamiiForums tusaidie tubadilishie title ya uzi iwe Galanos secondary school Alumni special thread
 
Jina linakuja halafu linapotea...

Itabidi tuwaombe mod watubadilishie Title ya uzi iwe Galanos secondary school Alumni special thread.

Cc dume30
Mkuu hilo Ni jambo jema. Fanya kuwqcheki mods waweke Uzi sawa.

Yule jamaa ambaye tulikuwa tunamwita fatuma alikuwa anafundisha chemistry na math.

Kama ulimaliza mbele yangu huwezi kumjua ,but wewe daby tulimaliza wote
 
Sijui labda wanaogopa ushushushu
Anayetakiwa aombe ni muanzisha uzi. Nimemtag ngoja aje
Mkuu hilo Ni jambo jema. Fanya kuwqcheki mods waweke Uzi sawa.

Yule jamaa ambaye tulikuwa tunamwita fatuma alikuwa anafundisha chemistry na math.

Kama ulimaliza mbele yangu huwezi kumjua ,but wewe daby tulimaliza wote
 
Mkuu sitosahau pale tunaelekea kwa mkuu wa mkoa kilichotukuta dah!!

Ila McMaster hawezi sahau mwaka wetu 2013 maana ule mgomo ulimuharibia kazi hadi hakuja siku ya graduu
Dah nilikuja kusikia story za huo mgomo wenu
Ilikuwa ni kwere saana. Ila class yenu ilikuwa na jamaa mmoja mrefu saana. Anacheza basketball saana.
 
Back
Top Bottom