Okay.Steve alikuaga Sua ila kwa sasa sijui yuko wap..... Tangu marehem Charlse atutoke nmekua sina Info zake!
Dah kitambo kidogo....Okay.
Benghazi...haha kile kipindi ilikuwa vita vya Libya ndio vimepamba moto.
Chocks
Dunia
Verani
Arra (r.i.p)
Arra kafariki au?Okay.
Benghazi...haha kile kipindi ilikuwa vita vya Libya ndio vimepamba moto.
Chocks
Dunia
Verani
Arra (r.i.p)
Huyo saadani si baada ya McMaster.Duh...Galaxy raha sana....Kumbe msocha wa zamani sana. Mi nmepita pale chini ya headmaster Said Saadan aliyeletwa kutok usagara, walimu kama Sembe, Singano, Sangawe, Maadam Miyanga....Vigodoro kwa saana na madem zetu wa Korogwe maana St Christina wanajiona wa kishua saana.
Nahisi hvo coz naskia aliletwa baada ya mgomo....Huyo saadani si baada ya McMaster.
Yeah Charles Arra Alisha fariki mkuu.Arra kafariki au?
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Dah,aisee nilikuwa sijui.Yeah Charles Arra Alisha fariki mkuu.
Ilikuwa mwaka 2015 hivi kama sijakosea alipatwa na umauti huko babati alipigwa na short ya umeme.
Alikuwa ndio anakaribia kumaliza Chuo.
Acha tuu. Kuna Arra na Big....Dah,aisee nilikuwa sijui.
Jamaa alikuwa peace sana.
R.I.P
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Msocha tulikuwa chui na paka, aisee huwezi amini siku naenda kufuata cheti changu akanipokea vizuri sana.Nakumbuka msocha alikuwa anakaa staff mpaka saa nne usiku anaangalia tv
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Kachoka kwa maananasikitika nilimuona bets shop meridian chakonichako dom kachoka sana ila ubrazameni wake upo vilevile
Fatumaa hahha alikua ana ubishoo flani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu hilo Ni jambo jema. Fanya kuwqcheki mods waweke Uzi sawa.
Yule jamaa ambaye tulikuwa tunamwita fatuma alikuwa anafundisha chemistry na math.
Kama ulimaliza mbele yangu huwezi kumjua ,but wewe daby tulimaliza wote
Apo umemsahau Kimunya!....Okay.
Benghazi...haha kile kipindi ilikuwa vita vya Libya ndio vimepamba moto.
Chocks
Dunia
Verani
Arra (r.i.p)
Ha haha Mzee mwenyewe kimunya....Apo umemsahau Kimunya!....
Nguvumali au majani mapana?Wazee Wa Nguvu Mali Mpoo?