Baadae alihamia Mombo na alifariki akiwa hukoMmh kafariki alihamishiwa secondary moj inaitwa kihere ipo sahare kafa kam kitu kama 2013 2014
Sent from my SM-J320FN using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadae alihamia Mombo na alifariki akiwa hukoMmh kafariki alihamishiwa secondary moj inaitwa kihere ipo sahare kafa kam kitu kama 2013 2014
Sent from my SM-J320FN using JamiiForums mobile app
Duh! Joint mass za UKWATA au YCS?Miaka ya nyuma wale watoto walikuwa free saana. Ila miaka yetu haikuwa hivyo mnasubiri paka joint mass
Kinenekejo alistaafu, wakati anasubiri mafao yake yatoke, siku anakwenda bank anakuta mamilioni ndio yameingia, kesho yake akaaga dunia! Haieleweki ni presha ya namna gan ilimpataKinenekejo alistaafu
DuhKinenekejo alistaafu, wakati anasubiri mafao yake yatoke, siku anakwenda bank anakuta mamilioni ndio yameingia, kesho yake akaaga dunia! Haieleweki ni presha ya namna gan ilimpata
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Zote tuu mbele ya st Christina wengine tulikuwa tuna dynamic denominationDuh! Joint mass za UKWATA au YCS?
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Huyo jamaa mwishoni alichanganyikiwa Fulani hivi kwa sababu ya misuli mirefukwenye suala la kutoboa kuna jamaa alikuwa anaitwa Kilonzo, huyu alikuwa ni noma Kwa misuli mikali!!!
AiseeKinenekejo alistaafu, wakati anasubiri mafao yake yatoke, siku anakwenda bank anakuta mamilioni ndio yameingia, kesho yake akaaga dunia! Haieleweki ni presha ya namna gan ilimpata
Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo jamaa mwishoni alichanganyikiwa Fulani hivi kwa sababu ya misuli mirefu
Yeah!!! Tena alikuwa class yenu 2010-2012Huyo jamaa mwishoni alichanganyikiwa Fulani hivi kwa sababu ya misuli mirefu
RIP Mshale...
Hajazeeka huyo jamaaa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,yuko vizuri tu.Hajazeeka huyo jamaaa!
Nilishawahi kudondoka kwenye huo mlingoti wa bendera makii ndiye alikuwa mwalimu wa Zamu
[emoji16][emoji16]Bendera ilinata juu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,yuko vizuri tu.
Sasa pale unadondokaje sasa brother au kiwewe[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16]Bendera ilinata juu...
nilikuwa mwepesi uteuzi wa kupanda ukaniangukia maana mtu mzito ungevunjika...
Sasa bwana nimefika juu nimeishika kabisa bendera kumbe kuna nyigu walinin'gata nikaiachia nikateleza kuanzia juu mpaka chini... puuu
Makii aliogopa akajua nimekufa... akanishika akakuta napumua