Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Mmh kafariki alihamishiwa secondary moj inaitwa kihere ipo sahare kafa kam kitu kama 2013 2014

Sent from my SM-J320FN using JamiiForums mobile app
Baadae alihamia Mombo na alifariki akiwa huko

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Kinenekejo alistaafu
Kinenekejo alistaafu, wakati anasubiri mafao yake yatoke, siku anakwenda bank anakuta mamilioni ndio yameingia, kesho yake akaaga dunia! Haieleweki ni presha ya namna gan ilimpata

Duh
Rest in peace Madame.
 
Kinenekejo alistaafu, wakati anasubiri mafao yake yatoke, siku anakwenda bank anakuta mamilioni ndio yameingia, kesho yake akaaga dunia! Haieleweki ni presha ya namna gan ilimpata

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
Aisee

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
efce24f8e82fc47eb21a8afe5685a158.jpg

R I p

Cc Daby and others.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,yuko vizuri tu.
Sasa pale unadondokaje sasa brother au kiwewe[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16]Bendera ilinata juu...
nilikuwa mwepesi uteuzi wa kupanda ukaniangukia maana mtu mzito mlingoti ungevunjika...

Sasa bwana nimefika juu nimeishika kabisa bendera kumbe kuna nyigu walinin'gata nikaiachia nikateleza kuanzia juu mpaka chini... puuu

Makii aliogopa akajua nimekufa... akanishika akakuta napumua
 
[emoji16][emoji16]Bendera ilinata juu...
nilikuwa mwepesi uteuzi wa kupanda ukaniangukia maana mtu mzito ungevunjika...

Sasa bwana nimefika juu nimeishika kabisa bendera kumbe kuna nyigu walinin'gata nikaiachia nikateleza kuanzia juu mpaka chini... puuu

Makii aliogopa akajua nimekufa... akanishika akakuta napumua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom