Galaxy Special: Kwa waliowahi kusoma/kufundisha Galanos High School.

Juzi kati nimeenda nimemkuta msocha yuko vilevile[emoji23] [emoji23] full mawenge
Hata Mimi juzi tuu nimemkuta msocha kanikumbusha mbali saana.

Kuna kipindi alinunua kapikipiki sasa akawa hawez kuendesha vizuri.

Akiwa anapita huku nyuma tunamcheka hawez kugeuka Bado Lena.

Alipokuja kuimaster fresh tulimkoma.

Cc Daby
 
Mmh kafariki alihamishiwa secondary moj inaitwa kihere ipo sahare kafa kam kitu kama 2013 2014

Sent from my SM-J320FN using JamiiForums mobile app
Huyo mama jina lake jingine Ni nan??

Kuna Maza alikuwa anaitwa kinenekejo ,
 
Huyo mama jina lake jingine Ni nan??

Kuna Maza alikuwa anaitwa kinenekejo ,
Kama sikosei anaitwa Amina kanyama mavaz yake yote ni marefu halaf anajifunga ushungi halaf mkono wake mmoja ni mfupi

Sent from my SM-J320FN using JamiiForums mobile app
 
Kube namba two pale nilikaa nikiwa mgeni zile harufu za toi watu wasipomwaga maji zilinichosha.

Nikahama juu huko gorofani
Mi nlikaa 5 mpaka six sikuhama cube,Raha ya chai number 2 unatoka uch* kwenda kuoga unarudi uch* cube,Teh teh teh
 
Mnamkumbuka Akida mswahili????
 
Duuuh,
Msocha,kinala,msombwa,kika,masawe,mgalawe,mbogo,mama kanyama aisee ni galaxy hasa.
Socha Boy, Msombwa, umenikumbusha Masawe daah, alikuwaga mnoko sana yule dingi na 'Kiinglishi' chake, ila mkewe mama Masawe alikuwa powa sana, ticha wangu wa Kemia. Mgalawe niliskia hayupo na Mbogo nae nimeskia kuwa alifariki.
 
Mi nlikaa 5 mpaka six sikuhama cube,Raha ya chai number 2 unatoka uch* kwenda kuoga unarudi uch* cube,Teh teh teh
Ha haaa haaaa kweli mkuu... Mimi ile harufu nooo
 
Alifariki 2012 kanyama

Sent from my SM-J320FN using JamiiForums mobile app
Duuuh, ticha Kanyama kumbe hatuko naye!!! Mbogo pia nilisikia alipoteza maisha, Mtunguja pia, wapi Godson???
 
Uli
Kube namba two pale nilikaa nikiwa mgeni zile harufu za toi watu wasipomwaga maji zilinichosha.

Nikahama juu huko gorofani
Hahahahaaaaa, Msocha alikuwa akiingia tu Dom anaanza na wewe maana ni mlangoni pale!
 
Wale waliosoma enzi za Kinala na Makamu wake mama Msemo(RIP), na mzee Kilindi(RIP) kama Mwalimu wa Economics, Na Masanja(History)
Huyo Mama Msemo, sina hata cha kuongea. We wacha kabisa, Mungu amrehemu huko alikotangulia
 
Hahahaa
Hata Mimi juzi tuu nimemkuta msocha kanikumbusha mbali saana.

Kuna kipindi alinunua kapikipiki sasa akawa hawez kuendesha vizuri.

Akiwa anapita huku nyuma tunamcheka hawez kugeuka Bado Lena.

Alipokuja kuimaster fresh tulimkoma.

Cc Daby
Socha Boy, hazeeki yule mtu, ni shida!
 
Hahahahaha, namba mbili za Mabweni yote pale hiyo ilikuwa ni sifa yake. Unatoka rum kwenda kuoga uchi na kurudi uchi. So inakuja pale akipita Ticha wa Kike kwenye korido nje pale, lazima akuone!!
Mi nlikaa 5 mpaka six sikuhama cube,Raha ya chai number 2 unatoka uch* kwenda kuoga unarudi uch* cube,Teh teh teh
 
Unamuonyesha tu,Nliwahi kumuonyesha mama Asenga mashine,Kasimama mlangoni nikageuzia kwake,Kesi ilikua kubwa hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…