[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....aisee...miaka yetu tulikuwa tunajenga hoja...basi tunaletewa watoto wa KO....Mafundi hapa katikati mlikosa soko. Mliwekewa wasichana hapo hapo school.
K.o tulikuwa tuna tawala sisi
Alafu hao nane wote sura zao ngumu....[emoji1] [emoji1] [emoji1] ....aisee...miaka yetu tulikuwa tunajenga hoja...basi tunaletewa watoto wa KO....
Jtatu tukiingia class tunanuniwa vibaya sana na madada....those years madada walikuwa wachache.....kwa class ya 40 students only 8 were girls.....
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Duuu jamaa kawa soldier asee au policeHuyo si kamanda siku hizi.
Field Marshal wa mchaka mchaka
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .....vibaya sana....wanawaza buku tu...Alafu hao nane wote sura zao ngumu....
Washika spana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahah alikuwa anazingua kuamsha watu mchaka mchaka dahhhhhDuuu jamaa kawa soldier asee au police
Maana jamaa alikua anamwili mkubwa sauti ndogo...na akiamua kupiga jalamba ni shidaaa
Hahaa enzi hizo ukiwa na dem wa technical school yaani hata huwezi mtaja mbele ya wana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] .....vibaya sana....wanawaza buku tu...
Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
Ila galaxy ni shida sna maana vigodoro wadau walikua wanahudhuria ata kiwe sahare lazima uwakute wagalatiaHahahah alikuwa anazingua kuamsha watu mchaka mchaka dahhhhh
Yupo tanga pale sio madoa doa
Yule mzee hakui tu.Hata Mimi juzi tuu nimemkuta msocha kanikumbusha mbali saana.
Kuna kipindi alinunua kapikipiki sasa akawa hawez kuendesha vizuri.
Akiwa anapita huku nyuma tunamcheka hawez kugeuka Bado Lena.
Alipokuja kuimaster fresh tulimkoma.
Cc Daby
Asante mkuu,nilikuwa nakaa Chai pale namba kumi,room yetu tumeiandika Mapana boysKumbe chief ulisoma pale...hongera.
Ndiyo Nature ya boy's school hiyo.....nlipokwenda A level jamaa wanaenda kunywa mataputapu kijijini...[emoji2][emoji2][emoji2]Ila galaxy ni shida sna maana vigodoro wadau walikua wanahudhuria ata kiwe sahare lazima uwakute wagalatia
nlikuwa sio mserbia ila mazingira na system havkuwa rafiki kwangu...BTW sikufail kabisa japo pia sikuperform kulingana na uwezo, effort na malengo yanguDuh mkuu.. sorry
Ulikuwa mserbia au?? Maana hata wasebia walikuwa wanakaza wanatoka.
Au Ni zile combi mpya za pcm??
Naburi alifariki mwa 2014 kama sijakoseaAliitwa Naburi.
Alikuwa mwanamke wa shoka.
Alikuwa anabadilisha gari kila siku.
Bila ya kusahau miss naburi..sioni mkitaja Mr Mbunda, Saranga, Mwaipopo, Salumu. etc How about Defender 110 vip ipo road au ilishakufa, mana ndio ulikuwa usafri wa bombo kupeleka wagonjwa mahtuti wa malaria, hajambo mpishi RASTA
Umenikumbusha yule jamaa muuza duka alikuwa rafiki yangu kinoma ila jina lake nimesahauDaaa wadau nishida sema kumbe msocha wakitambo maana mi nilimaliza 2013 six nilikua napelekeshana nae hatari -ndo tuliletaga mgomo mpaka tukachoma duka
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Pamba lilikuwa linaongoza kwa uchafuNilikua kahawa cube 2, sema tulikua tunshika mkia kwenye usafi toka niingie mpaka namaliza
Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Nilikuwepo lavida siku ile ila sikukamatwa.Walienda hao si ndio wana kibao wakapewa suspension......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwepo lavida siku ile ila sikukamatwa.
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Alikuwa anaitwa Jose. Nadhani aliogopa saana ile siku ya moto.Umenikumbusha yule jamaa muuza duka alikuwa rafiki yangu kinoma ila jina lake nimesahau
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Duh.Wapi mr. Shemgwa..
Ukiskia pikpik yake xtrail lazima utoke nduk
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app